Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Magufuli na Ukabila wake lakini kampeni hakuzindulia Chato.Akiwa kwenye kampeni huko Maswa Mheshimiwa Shibuda ameungana na wazalendo wengine kukemea siasa za kuwagawa watanzania kupitia majimbo na kanda.
Lissu mbali ya kutofika kwao kwa miaka 3 lakini kampeni hakufungulia Ikungi.
Utueleze huyo anayepinga majimbo kampeni amefungulia wapi ambako hata mama yake mzazi alimkataa juzi?