Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Sep 29, 2020 #21 jingalao said: Akiwa kwenye kampeni huko Maswa Mheshimiwa Shibuda ameungana na wazalendo wengine kukemea siasa za kuwagawa watanzania kupitia majimbo na kanda. Click to expand... Magufuli na Ukabila wake lakini kampeni hakuzindulia Chato. Lissu mbali ya kutofika kwao kwa miaka 3 lakini kampeni hakufungulia Ikungi. Utueleze huyo anayepinga majimbo kampeni amefungulia wapi ambako hata mama yake mzazi alimkataa juzi?
jingalao said: Akiwa kwenye kampeni huko Maswa Mheshimiwa Shibuda ameungana na wazalendo wengine kukemea siasa za kuwagawa watanzania kupitia majimbo na kanda. Click to expand... Magufuli na Ukabila wake lakini kampeni hakuzindulia Chato. Lissu mbali ya kutofika kwao kwa miaka 3 lakini kampeni hakufungulia Ikungi. Utueleze huyo anayepinga majimbo kampeni amefungulia wapi ambako hata mama yake mzazi alimkataa juzi?