johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee kwa nini mmetelekeza 'small house' zenu hadi zinalia njaa?!Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata.
Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani.
Source ITV
Maendeleo hayana vyama!
Mbona umeisoma au umeshiba mbege hapo kilabuni bwashee!!Hii nayo ni habari ?
Au ukishiba ugali na dagaa unajiandikia tu!
Shibuda ni Chadema!Bwashee kwa nini mmetelekeza 'small house' zenu hadi zinalia njaa?!
Hiki kijamaa nilishakipuuza. Kina utoto mwingi sana.Hii nayo ni habari ?
Au ukishiba ugali na dagaa unajiandikia tu!
Kwa nini aogopwe sana kuna reason gani behind?Ukiona msukuma anaongea kwa lafudhi ya ki-Zanzibar ogopa sana.
Na huyo ndio Shibuda.
Hahahaha mabaharia wamekuelewa vizuri sana[emoji23]Ukiona msukuma anaongea kwa lafudhi ya ki-Zanzibar ogopa sana.
Na huyo ndio Shibuda.
Anawatumbuaje wakti walitekeleza maagizo yake?Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata.
Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Hii nayo comment ?Hii nayo ni habari ?
Au ukishiba ugali na dagaa unajiandikia tu!
Mbona hili ni la kijinga sana mtu ni mgombea kama wao lakini bado wanamuomba. Kuna haja katiba kuangaliwa upyaMgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata.
Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Dr Magufuli ndio mgombea na Rais Magufuli ni taasisi!Mbona hili ni la kijinga sana mtu ni mgombea kama wao lakini bado wanamuomba. Kuna haja katiba kuangaliwa upya
😂😂😂😂😂😂😂Hahahaha mabaharia wamekuelewa vizuri sana[emoji23]
Ahsante kwa kuja bwashee, wasalimie migombani!Hiki kijamaa nilishakipuuza. Kina utoto mwingi sana.
Tundu Lisu ndio mpinzani?!Shibuda hajawahi kuwa mpinzani. Aliingia kujaza orodha tu. Na ashindwe tu