Uchaguzi 2020 Shibuda alia ukata unamfelisha kufanya kampeni, amtaka Rais Magufuli awatumbue wasimamizi wa Uchaguzi waliovurunda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata.

Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
 
Source ITV

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee kwa nini mmetelekeza 'small house' zenu hadi zinalia njaa?!
 
Shibuda hajawahi kuwa mpinzani. Aliingia kujaza orodha tu. Na ashindwe tu
 
Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata.

Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Anawatumbuaje wakti walitekeleza maagizo yake?
 
Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata.

Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Mbona hili ni la kijinga sana mtu ni mgombea kama wao lakini bado wanamuomba. Kuna haja katiba kuangaliwa upya
 
Back
Top Bottom