Serikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia CHADEMA ... Akiongea juzi asubuhi katika kipindi cha JAMBO TANZANIA.
Source: tbc1

Nimpe tu hongera zake huyo mweshimiwa kwa kuwa huyo na wenzake ndio wanaofanya watanzania kuwa kama vifuu vya nazi yaani kuwa watanzania hamnazo ndivyo wanavyofikiri. Wanadhani wasiposema wao hakuna wa kusema.
Siyo kila anayeitwa wa kiume ni mwanaume. Utasema wewe ni mwanaume wakati unaishi kwa kutegemea wanachosema waajiri wako? Wewe ni kibaraka tu huwezi kuwa mwanaume ila unaweza kuonekana wa kiume tu.Msimamo wa kiume huu. Hongera sana shibuda
Kwanini mkuu
Huyo ni miongoni mwa wengi wanaopingana na misimamo ya vyama vyao. Ikumbukwe kuwa kuna kundi kubwa la wabunge na wawakilishi wa kutoka CCM hasa Wazanzibari, wanapingana na msimamo wa CCM jambo linalomfanya Ole Sendeka awe analia machozi mara kwa maraSerikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia CHADEMA ... Akiongea juzi asubuhi katika kipindi cha JAMBO TANZANIA.