Shibuda: mimi ni muumini wa serikali mbili, na haziepukiki

ifweero

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
7,957
Reaction score
1,335
Serikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia CHADEMA ... Akiongea juzi asubuhi katika kipindi cha JAMBO TANZANIA.

Source: tbc1
 
Nimpe tu hongera zake huyo mweshimiwa kwa kuwa huyo na wenzake ndio wanaofanya watanzania kuwa kama vifuu vya nazi yaani kuwa watanzania hamnazo ndivyo wanavyofikiri. Wanadhani wasiposema wao hakuna wa kusema.
 
Kwanini mkuu
 
hayo ni mawazo yake, ni uhuru wake kama raia wa Tanzania huru.
Serikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia CHADEMA ... Akiongea juzi asubuhi katika kipindi cha JAMBO TANZANIA.

Source: tbc1
 
Serikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia CHADEMA ... Akiongea juzi asubuhi katika kipindi cha JAMBO TANZANIA.

Source: tbc1

Hata sisi Wazanzibar pia ni waumini wa serikali mbili, moja ya Tanganyika na nyingine ya Zanzibar...!! tupo pamoja bwana shibuda, ucjione hii nchi kama yako
 
Mh shibuda anachosema ni shikizo toka kwa wanaompatia ajira sasa afanye nini ? ili kulinda ajiraaaa
Nimpe tu hongera zake huyo mweshimiwa kwa kuwa huyo na wenzake ndio wanaofanya watanzania kuwa kama vifuu vya nazi yaani kuwa watanzania hamnazo ndivyo wanavyofikiri. Wanadhani wasiposema wao hakuna wa kusema.
 
Msimamo wa kiume huu. Hongera sana shibuda
Siyo kila anayeitwa wa kiume ni mwanaume. Utasema wewe ni mwanaume wakati unaishi kwa kutegemea wanachosema waajiri wako? Wewe ni kibaraka tu huwezi kuwa mwanaume ila unaweza kuonekana wa kiume tu.
 
Naunga mkono serikali Mbili ya Tanganyika na nyingine ya Zanzibar
 
Kwanini mkuu

Kwa kuwa kamba za kuzimu zimemkamata sawa sawa na yeye anadhani yuko huru kumbe kafungwa sawa sawa naye anatapa kama vile yuko huru. kwa kutokujua kuwa amefungwa kamba za kuzimu ndo maana nampongeza.
 
Kinachokera ni kwamba kwa ujinga na ushabiki wetu humu JF tunataka kila mtu aseme mie nataka serikali tatu. Ukijipambanua na serikali mbili tayari wewe ni msaliti na -----------. Utadhani tumelogwa na haya masiasa ya kitanzania yanayolazimisha ukasuku!!
 
Afadhali huyu msimamo wake ni waserikali mbili, na hoja yake ni kuwa kule Zanzibar wapo ndugu zake wanyamwezi na wasukuma waliokuwa manamba na vijakazi kule. Sasa anasema hawezi kuwasaliti. Hivi ikiwa serikali moja au tatu atawasaliti vipi? Wakati huohuo wale anaowatetea hawaitaki huo muungano. Ila afadhali ya huyu, kuna hawa wengine walio wengi, msimamo wao ni kura ya wazi, hoja yao ya msingi tafadhali usiniulize.
 
nilimsikia shibuda na serukamba..Sibuba alitoa kazi ktk vijembe vyake dhidi chama chake bila kukitaja..huku akisema ataka kura ya siri..ila kali..ni kwamba Eti watanzania hawana ardhi..watanganyika na wazenji watakuwa nayo....ni km kusema KUSEMA kusema na mwanamume na mwanamke watakuwa na watoto ila wazazi hawatakuwa nao.
 
huyo ni shibuda, bado zitto, si unajua ajira yao ni moja na mwajiri wao ni mmoja, huu ndio ule muda wa wasaliti kujipambanua waziwazi na wananchi tukawafahamu, ni mjinga tu unayeweza madanganya kuwa shibuda ni Chadema, huyu aliishabainika kitambo na wananchi wenyewe kuwa ni msaliti, kabla hata zitto hajajulikana waziwazi, watavuna wanachokipanda.
 
Shibuda ni miongoni mwa wasaliti wa tanganyika waliolelewa na mafia na mabwenyenye wa kiccm, wana upofu wa kifikra, wanatamani zanzibar iendelee kuikandamiza tanganyika kwa kisingizio cha muungano, muungano wa kweli ni serikali 1 au tatu, vinginevyo ni bora watanganyika tupate uhuru wetu uliopokonywa na wazanzibar! Tanganyika kwanza!!
 
Serikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia CHADEMA ... Akiongea juzi asubuhi katika kipindi cha JAMBO TANZANIA.

Source: tbc1
Huyo ni miongoni mwa wengi wanaopingana na misimamo ya vyama vyao. Ikumbukwe kuwa kuna kundi kubwa la wabunge na wawakilishi wa kutoka CCM hasa Wazanzibari, wanapingana na msimamo wa CCM jambo linalomfanya Ole Sendeka awe analia machozi mara kwa mara
 
Serikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia CHADEMA ... Akiongea juzi asubuhi katika kipindi cha JAMBO TANZANIA.

Source: tbc1

mkuu shift yako inaisha saa ngapi na wengine nao waingie?
 
Back
Top Bottom