johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mwenyekiti wa chama cha Tadea mh John Magale Shibuda amewataka Wanasiasa kushirikiana ili kudumisha maendeleo yaliyopatikana.
Shibuda amewataka Wapinzani kushirikiana tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kwani Ukuni na Ukuni ndio huivisha chungu.
Shibuda amesema hayo wakati wa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa ulioandaliwa na msajili.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!