Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Yeye anataka vyama vya siasa vishirikiane vyote!
Vishirikiane na ccm?!
Yeye anataka vyama vya siasa vishirikiane vyote!
Ndio maana yake!Vishirikiane na ccm?!
Ndio maana yake!
tunaishia kuwa makondakta na madalali mkuu 😀 😀 😀 😀 😀Asilimia kubwa ya waliofanikiwa walitokea shamba wakaja mjini wakatoboa.
madon town tumebaki na maneno meengi na kugombea nyumba za urithi tunazeekea home.
kukaa kwenye vijiwe vya kahawa,kula mirungi,ngada na kubeti.ukimzingua anakwambia mimi mtoto wa mjini wewe wa kuja utanambia nini.alafu ana hata ramani.tunaishia kuwa makondakta na madalali mkuu 😀 😀 😀 😀 😀
imekuuma ehh ?Mbona mnajipendekeza sana kwa ACT ya Zito kabwe mliemfukuza Chadema?
Kwani Shibuda hamkumfukuza?Mbona mnajipendekeza sana kwa ACT ya Zito kabwe mliemfukuza Chadema?
Wanasema wewe zwazwaKwani Chadomo wanasemaje?
Ongeza na ACT iko makini kwlei kjule zenj. vilivyobaki vyte ni CCM BTanzania kuna vyama viwili Chadema na CCM tu.
Atakaye mshangaa Shibuda wa TADEA amshangae Mrema wa TLP. Bwn Mapesa hajatoa kauli ya UDP.Mwenyekiti wa chama cha Tadea mh John Magale Shibuda amewataka Wanasiasa kushirikiana ili kudumisha maendeleo yaliyopatikana.
Shibuda amewataka Wapinzani kushirikiana tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kwani Ukuni na Ukuni ndio huivisha chungu.
Shibuda amesema hayo wakati wa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa ulioandaliwa na msajili.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!