johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbona mnajipendekeza sana kwa ACT ya Zito kabwe mliemfukuza Chadema?Awashauri CUF, NCCR, TLP nk washirikiane na ccm.
Wachukue tu kadi za ccm wawe wanachama pamoja na wafuasi wao.Awashauri CUF, NCCR, TLP nk washirikiane na ccm.
Ila ujue na nyie anawaita washambaMbona mnajipendekeza sana kwa ACT ya Zito kabwe mliemfukuza Chadema?
Asilimia kubwa ya waliofanikiwa walitokea shamba wakaja mjini wakatoboa.Ila ujue na nyie anawaita washamba
Mbona mnajipendekeza sana kwa ACT ya Zito kabwe mliemfukuza Chadema?
Yeye anataka vyama vya siasa vishirikiane vyote!Awashauri CUF, NCCR, TLP nk washirikiane na ccm.
Hahahaaaa.......... Kumbe !Shibuda ukuni mbichi unachelewesha mboga kuiva.
Chadema na ACTTanzania kuna vyama viwili Chadema na CCM tu.
Hicho kingine si chama!! ki kikundi cha ukandamizaji wa haki za kiraia.Tanzania kuna vyama viwili Chadema na CCM tu.