Shida hapa itakuwa nini kwenye app ya NMB Mkononi

Shida hapa itakuwa nini kwenye app ya NMB Mkononi

Boss nadhani simu yako imekuwa rooted. Hiyo simu unaweza kuwa ulinunua used aliyekuwa ana tumia ali root hiyo simu so ipo open kuchezewa sio salama delete app achana na hiyo simu
Hii ishu nimeiona Google pixel hizo simu kama tatu hivi
 
Back
Top Bottom