KERO Shida hii ya Umeme Tunduru mpaka lini?

KERO Shida hii ya Umeme Tunduru mpaka lini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Showme

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,251
Reaction score
498
Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa 1744 jioni.

Mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote kutoka Tanesco.
 
Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa 1744 jioni. Mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote kutoka Tanesco.
Jiandikishe kupiga kura 2025,tupige nyingiii hata wakiiba
 
Ccm maeneo ya mikoa ya kusini wana ya dharau sana,hata hawaumizi kichwa kuwaza maendeleo kusini.

Bila Mkapa nadhani hata leo kusingekua na barabara ya lami wala daraja la Mkapa hapo mto rufiji.
 
Back
Top Bottom