Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
NdioAaaaaaah.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioAaaaaaah.!!
Tushirikishane huo mchanganuo....tunaweza saidiana.Ndio
Kwa serious ppo tu..Tushirikishane huo mchanganuo....tunaweza saidiana.
I am seriousKwa serious ppo tu..
Ha ha ha ha. Stop kiddingI am serious
[emoji32][emoji32][emoji15][emoji15][emoji15]Ha ha ha ha. Stop kidding
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Lakini ukishasimama si ndio umeinuka maisha,unajua kinachowaponza wastaafu wakirudi mtaani licha ya kuwa na pesa wanafirisika na kufa mapema...coz wanakuwa hawajapata elimu dunia ya mtaaniChangamoto kubwa kwenye kujiajiri biashara 90% zina chukua muda kusimama na kufaidi matunda,ni chache sana ambazo ukianzisha leo faida unaanza kupata leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaamini unaweza kupata mtaji kwa kuyauza mawazo yako....have u ever imagine watu walianza na wazo kwa kutokuwa na uoga wakatusua....Ha ha ha ha. Stop kidding
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sijakuelewa hapo. Hebu funguka vizuriUnaamini unaweza kupata mtaji kwa kuyauza mawazo yako....have u ever imagine watu walianza na wazo kwa kutokuwa na uoga wakatusua....
by emma mjasiriamali
Yaani wazo lako ndilo mtaji wenyewe,hela sio mafanikio....kwahiyo ukiwa na wazo sahihi ni mtaji tosha kabisa,kuna baadhi ya mawazo yanahitaji vitu vinavyokuzunguka....Sijakuelewa hapo. Hebu funguka vizuri
Kwa mfano?Yaani wazo lako ndilo mtaji wenyewe,hela sio mafanikio....kwahiyo ukiwa na wazo sahihi ni mtaji tosha kabisa,kuna baadhi ya mawazo yanahitaji vitu vinavyokuzunguka....
by emma mjasiriamali
Hayo mawazo yanadepend na unazungukwa na nini...tatizo tunawaza mambo makubwa tu,hatuyapi nafasi mambo madogo ambayo kimsingi ndio chanzo cha hayo makubwaKwa mfano?
Ongezea hapo na target ya biashara yako umeielekezea wap?? tuna haja ya kufikiri sana tuache kulalamika.Maamuzi + Wazo la biashara.
Mtaji ni watu wanaokuzunguka, hao ndio walio na pesa zako nshu ni kwamba unazipata vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale ulipo...uwe kwenye group la masomo,mazoezi au lolote lile ndipo ulipo mtaji wako.Shida mtonyo,yaani kianzio cha kujiajiri..
Njoo tuyapange private messageHa ha ha ha. Stop kidding
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ndo unavyo amini?kujiajiri ni kuacha njia ya ulichokisotea shuleni kwa miaka mingi sana,