ALWAZ unajifariji huku umebana mkundu/marinda.Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona halikustahiki.
Mateka hao walikuwa wakiishi maisha ya kawaida na hawakuwa katika hatari yoyote ile ndio maana wamepatikana wakiwa katika afya nzuri.
Zaidi ya tukio hilo ni kuwa kulishawahi kupangwa operesheni kama hizo kadhaa huko nyuma na baadae zikafutwa kutokana na ugomo uliokuwa ukijitokeza katika hatua za mwisho za utekelezwaji.Hiyo ni kwa mujibu wa makamanda wa vita wa Israel.
Uokoaji huu ulifanywa kwa ushirikiano wa maafisa wa kimarekani na kwa kutumia gati la kutolea misaada.Askari wa Israel wajivika mavazi ya kipalestina na Hamas na yawezekana katika mavazi ya kike ili kufika eneo la tukio.
Mara baada ya kuonekana dalili za uokoaji huo wapiganaji wa Hamas badala ya kukimbia mbio walitoka na kila aina ya silaha walizonazo na kupambana.Ndege za jeshi zilitumika kupiga maeneo yote karibu na nyumba walizokuwa wakiishi mateka hao na hivyo kusababisha vifo vya wasiohusika.
Katika purukushani hiyo ambayo walionusurika wamesema ilikuwa ni operesheni ya hatari na iliyokosa umakini inaaminika pamoja na kuokolewa mateka basi na askari wa Israel hawakutoka salama wote na ushahidi ni gari yao waliyokuja nayo kutoweza kutoka na kuungua moto karibu na eneo la tukio.
israel haijataja maafa upande wao lakini imekiri kufariki kwa mateka mwengine aliyejeruhiwa vibaya katika opreresheni hiyo.Uokoaji huo ulihitimishwa na kuonekana kwa gari la kupeleka misaada ya chakula likielekea eneo la gati ba muda mfupi baadae helkopta kuruka kutoka eneo hilo kuelekea Israel.
Kwa kujua kwamba jeshi la Israel limelazimika kujivika mavazi ya kipalestina na mavazi ya kike na kujifanya Hamas sambamba na kutumia magari ya misaada,kwa sasa operesheni kama hizo zitakuwa ni ngumu zaidi kutekelezeka.
Ukipenda ongeza maarifa hapo chini.
Inside Israel’s deadly operation to rescue four hostages
Za kwako ni zaidi.Jaribu kufikiri kurushiana risasi na Hamas wasiokata tamaa ilikuwa ni jambo jepesi kweli hata askari wote wa Israel waondoke bila mkwaruzo.Umebugia propaganda za uwongo,pole
Kujificha kwenye magari ya misaad sijui ni ushujaa wa aina gani.Na tofauti iko wapi na wengine kujificha katikati ya wake zao.Walijificha kwenye magari ya msaada,walipofika,raia wakajaa kupokea msaada,IDF wakatokea katikati ya gari na kuanza kurusha risasi,raia wengine walikatika shingo kwa risasi
Unajua kinachoendelea duniani? Ni kuwanusuru wapalestina dhidi ya kichapo kutoka kwa waisraelMswahili mwenzangu hebu niambie hiyo taarifa imeandikwa na nani kwanza.Ni huyo mwandishi mwenyewe au ni ndugu zake au ni mtu mwengine.
Hiyo kambi ya Nusreita imeshapigwa na kurudiwa kupigwa na ndiko watu wa kusini wanaozidi milioni moja walikotakiwa wakajifiche.NI nani ana nyumba hapo ya kuficha mtu mwengine.Ni watu wanabanana tu wapate kupumua.
Kwa hivyo taarifa yangu ni sahihi na inayozingatia ukweli wa taarifa nyengine zinazohusu Gaza.Ukiwa na nyumba au Gofu basi watu wanamiminika tu ndani na huwezi kuwatoa kwa kuwahurumia.
Komandoo mmoja wa IDF alifariki kwenye mapigano.Za kwako ni zaidi.Jaribu kufikiri kurushiana risasi na Hamas wasiokata tamaa ilikuwa ni jambo jepesi kweli hata askari wote wa Israel waondoke bila mkwaruzo.
Ule ushujaa wa Entebe hauwezi kamwe kuoneshwa ndani ya Gaza
Tena hiypo operesheni haikufanywa na mazayuni tu, imefanywa wakishirikiana na Wamarekani, Waingereza na vibaraka wao wengine wasaliti wa Kiarabu.Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona halikustahiki.
Mateka hao walikuwa wakiishi maisha ya kawaida na hawakuwa katika hatari yoyote ile ndio maana wamepatikana wakiwa katika afya nzuri.
Zaidi ya tukio hilo ni kuwa kulishawahi kupangwa operesheni kama hizo kadhaa huko nyuma na baadae zikafutwa kutokana na ugomo uliokuwa ukijitokeza katika hatua za mwisho za utekelezwaji.Hiyo ni kwa mujibu wa makamanda wa vita wa Israel.
Uokoaji huu ulifanywa kwa ushirikiano wa maafisa wa kimarekani na kwa kutumia gati la kutolea misaada.Askari wa Israel wajivika mavazi ya kipalestina na Hamas na yawezekana katika mavazi ya kike ili kufika eneo la tukio.
Mara baada ya kuonekana dalili za uokoaji huo wapiganaji wa Hamas badala ya kukimbia mbio walitoka na kila aina ya silaha walizonazo na kupambana.Ndege za jeshi zilitumika kupiga maeneo yote karibu na nyumba walizokuwa wakiishi mateka hao na hivyo kusababisha vifo vya wasiohusika.
Katika purukushani hiyo ambayo walionusurika wamesema ilikuwa ni operesheni ya hatari na iliyokosa umakini inaaminika pamoja na kuokolewa mateka basi na askari wa Israel hawakutoka salama wote na ushahidi ni gari yao waliyokuja nayo kutoweza kutoka na kuungua moto karibu na eneo la tukio.
israel haijataja maafa upande wao lakini imekiri kufariki kwa mateka mwengine aliyejeruhiwa vibaya katika opreresheni hiyo.Uokoaji huo ulihitimishwa na kuonekana kwa gari la kupeleka misaada ya chakula likielekea eneo la gati ba muda mfupi baadae helkopta kuruka kutoka eneo hilo kuelekea Israel.
Kwa kujua kwamba jeshi la Israel limelazimika kujivika mavazi ya kipalestina na mavazi ya kike na kujifanya Hamas sambamba na kutumia magari ya misaada,kwa sasa operesheni kama hizo zitakuwa ni ngumu zaidi kutekelezeka.
Ukipenda ongeza maarifa hapo chini.
Inside Israel’s deadly operation to rescue four hostages
Vipigo vya hajaWaislamu bana, hilo tukio mliuawa 250 halafu leo mnakuja kujisifu humu.
Kama hawatarudia basi wangekuwa wameshakaa kimya.Kumbe wanapambana kiume na kuendelea kuua askari wa IDF japo kwa manati walizonazo.Mabomu mazito kutoka angani yanawaua na wanaobaki hai hawalii tu bali wanaokota mawe wanayarusha.Unajua kinachoendelea duniani? Ni kuwanusuru wapalestina dhidi ya kichapo kutoka kwa waisrael
Hakika kwa kichapo walichopokea wapalestina hawatarudia tena kufanya ule ujinga😁😁😁 Mpaka waarabu weusi wanaandamana ambapo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia.
Mtoa roho israel alivyo na roho mbaya anakutangazia vita ili aichukue roho yako ukiwa umejiandaa
Mt 255 na mk 254 ni mtu mmoja,akimaanisha mkenya 254 na mtanzania 255Kujificha kwenye magari ya misaad sijui ni ushujaa wa aina gani.Na tofauti iko wapi na wengine kujificha katikati ya wake zao.
Kila siku tunamsikia Imeloa na MK254 na MT 255 na mwenzao Mighayo wakiwabeza Hamas kuwa wanajificha nyuma akinadada.
Leo wazayuni wamejaa kwenye mazishi ya askari wa IDFKomandoo mmoja wa IDF alifariki kwenye mapigano.
Sasa wewe unatka wapalestina waendelee kuwa sadaka ya mayahudi mpaka lini.Kwa sababu wameshatolewa sana kwa zaidi ya miaka 75Huwa nashangaa sana watu wanaowaona wanamgambo wa gaza kama wapigania uhuru na kuwalinganisha ni akina Mandela na Nyerere.
Huwezi kuweka hatarini maisha ya watu zaidi ya 200 kwa kitu ambacho kinaepukika. Kuna haja gani kuwachanganya mateka na raia wa kawaida ambao unapambana kwa ajili yao?
Kama hamas wanawaficha mateka katikati ya raia na wao kuvaa nguo za kiraia hivi utegemea waokoaji wafanyeje?
Mr Alwaz uwe unajishtukia kidogo basi, mmeamua kuwatoa sadaka wapelestina ili kupigania Al Aqsa basi tulieni. Ila kumbukeni siku ya kiama mtajibu mbele ya Allah maana hajawatuma kuwatoa sadaka watu wake kwa ajili ya msikiti
Sasa ulitaka wajae wapi?Leo wazayuni wamejaa kwenye mazishi ya askari wa IDF
Askari hakuwa mmojaSasa ulitaka wajae wapi?
Weka source la sivyo inakuwa ni porojo.Askari hakuwa mmoja
Halafu baadae ni kulialia na kugalagala na kusaga meno.Mnateka watu mnawapeleka wakaishi na raia
Nenda kwenye vyombo unavyoviamini,nimesoma huko,CNN,sky, NYT sikumbuki ni kipi hasaWeka source la sivyo inakuwa ni porojo.
Hamas ni warembo tu. Nilitegemea kipindi Israel imetengaza vita. Wangekaa pale mpakani kuwazuia jeshi la Israel kutoingia Gaza au Rafah.Kama hawatarudia basi wangekuwa wameshakaa kimya.Kumbe wanapambana kiume na kuendelea kuua askari wa IDF japo kwa manati walizonazo.Mabomu mazito kutoka angani yanawaua na wanaobaki hai hawalii tu bali wanaokota mawe wanayarusha.
Hao watu si wa kawaida.Kilichowafanya wawe hivyo ni mateso ya muda mrefu tangu mababu zao.
Israel nayo ingefanya kama hivyo kwa wajerumani sio kuja kuwaonea wapalestina.