- Thread starter
- #21
Hahaha 😂Maisha ya duniani tunapita tu subiri maisha ya mbinguni huko ndio kuna utajiri hakuna kuumwa hakuna njaa yaani ni raha tu
Ukiielewa hii kauli utaelewa kwanini dini zipo, wao wanakwambia hivyo na sadaka unawapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha 😂Maisha ya duniani tunapita tu subiri maisha ya mbinguni huko ndio kuna utajiri hakuna kuumwa hakuna njaa yaani ni raha tu
Ukiielewa hii kauli utaelewa kwanini dini zipo, wao wanakwambia hivyo na sadaka unawapa
Hapana,ingia kwenye magendo mkuuHahha kwaiyo boss nitumie ndumba😂
Vumilia Bado kidog saana utoboeInakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni
Dah yn uliyoyaandika ndio mm nilivyo 99%Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni
Mafanikio mara nyingi hayawafuati watu wanaojituma jitahidi kuwa na elimu ya pesa elimu hiyo haifundishwi shuleniInakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni
Dah asee kwamba tunatakiwa kuwa na plan B sio kuwaza kutoboa kwa hustle halali tu?Huenda njia halali si saizi yako...
Tumia njia mbadala....kutoboa ni kulekule kikubwa umakini
Wewe umelogwa na CCMDah yn uliyoyaandika ndio mm nilivyo 99%
Shida ni hapo kwenye chanzo kimoja cha pesa.Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni
Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni
www.sportskeeda.com
That's it.... usiogope kufa...Dah asee kwamba tunatakiwa kuwa na plan B sio kuwaza kutoboa kwa hustle halali tu?
Nipe connection ya mishangazi hiyo mkuu😁😥😥😥😥😥😥😥 samahn mkuu najikuta nalia hapa baada ya kusoma uzi wako..
Kiufupi mkuu hao vijana ni mimi kabisa mkuu aiseee napambana sana sana mkuu napambana mpaka basi naimani hapa kuna watu hawatapinga..
Japo upande wa mahusiano sipo strong na mtu huwa natembeq na mashangazi..
Ila mengine yote uliyoongea napita nayo hvo hivo hvo..
Lakini mkuu ujue kuna kitu nimejifunza aisee mi licha ya kupambana kote hivi ila nina amani ya Moyo...
Sidaiwi
Sichukiwi na watu
Nafurahia mahusiano yangu
Kiufupi hakuna kitu cha kunipa stress mpaka sasa...
Katika haya maisha pambana upambanavyo ila kumbuka kuishi,..
Ni lazima kuwepo na class ili maisha yaendeleeeee kikubwa hakuna kukata tamaaa..
Mi miaka ya zamani nilikua najiuliza inakuaje mtu anapata mashangazi...
Nikaanza kupambania namshukuru Mungu alhamdullilah sasa hvi si haba connection za mashangazi za kutosha.
Kwahyo tusichoke no one knows tomorrow... Usije kujidanganya ukamshirikisha Mungu wako kwa kuingia katika imani za waganga be strong
Mkuu uzi wako umenigusa sana..
Mi nashangaaa kina Vishu Mtata wanalewa chakali na kila siku pesa wanapata..
Kuna kipindi nilitamani niwe panya road.
Maana nyumbani walinichoka wakawa wanajaribu kunifananisha na mbwa koko niliye kosa jina 😥😥😥😥😥😥
Kufanya hayo uliyoeleza haimaanishi ambae anafanya basi ana Imani haba kuliko asiyefanya.Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni
Very true ukishajitambua basi lazima upishane nayo nadhani Kuna namna imewekwa.Mafanikio mara nyingi hayawafuati watu wanaojituma jitahidi kuwa na elimu ya pesa elimu hiyo haifundishwi shuleni