Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Inasikitisha sanaWewe umelogwa na CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sanaWewe umelogwa na CCM
Dogo nani anaelewa, hizo pesa za kulewea natoa wapi mkata ufuta mimi, bora wewe Ant Dorry anakuita mkanywe visungura😥😥😥😥😥😥😥 samahn mkuu najikuta nalia hapa baada ya kusoma uzi wako..
Kiufupi mkuu hao vijana ni mimi kabisa mkuu aiseee napambana sana sana mkuu napambana mpaka basi naimani hapa kuna watu hawatapinga..
Japo upande wa mahusiano sipo strong na mtu huwa natembeq na mashangazi..
Ila mengine yote uliyoongea napita nayo hvo hivo hvo..
Lakini mkuu ujue kuna kitu nimejifunza aisee mi licha ya kupambana kote hivi ila nina amani ya Moyo...
Sidaiwi
Sichukiwi na watu
Nafurahia mahusiano yangu
Kiufupi hakuna kitu cha kunipa stress mpaka sasa...
Katika haya maisha pambana upambanavyo ila kumbuka kuishi,..
Ni lazima kuwepo na class ili maisha yaendeleeeee kikubwa hakuna kukata tamaaa..
Mi miaka ya zamani nilikua najiuliza inakuaje mtu anapata mashangazi...
Nikaanza kupambania namshukuru Mungu alhamdullilah sasa hvi si haba connection za mashangazi za kutosha.
Kwahyo tusichoke no one knows tomorrow... Usije kujidanganya ukamshirikisha Mungu wako kwa kuingia katika imani za waganga be strong
Mkuu uzi wako umenigusa sana..
Mi nashangaaa kina Vishu Mtata wanalewa chakali na kila siku pesa wanapata..
Kuna kipindi nilitamani niwe panya road.
Maana nyumbani walinichoka wakawa wanajaribu kunifananisha na mbwa koko niliye kosa jina 😥😥😥😥😥😥
Wanaotoboa wengi ni wanao work smart na si wanao work hard. Watu wenye fedha wanatumia akili zaidi kuliko nguvu.Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni