Shida ni nini kwenye haya maisha? take its so serious.

Maisha ya duniani tunapita tu subiri maisha ya mbinguni huko ndio kuna utajiri hakuna kuumwa hakuna njaa yaani ni raha tu


Ukiielewa hii kauli utaelewa kwanini dini zipo, wao wanakwambia hivyo na sadaka unawapa
Hahaha πŸ˜‚
 
Vumilia Bado kidog saana utoboe
 
Dah yn uliyoyaandika ndio mm nilivyo 99%
 
Mafanikio mara nyingi hayawafuati watu wanaojituma jitahidi kuwa na elimu ya pesa elimu hiyo haifundishwi shuleni
 
Shida ni hapo kwenye chanzo kimoja cha pesa.
Maisha yanatabia ya kukalili kipato chako afu yanakuja na shida Iko mulemule kwenye hicho kipato na Wala hautaiwela kama ni shida maana utaimudu, lakini mwisho wa siku pesa imeenda.
 
πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯ samahn mkuu najikuta nalia hapa baada ya kusoma uzi wako..

Kiufupi mkuu hao vijana ni mimi kabisa mkuu aiseee napambana sana sana mkuu napambana mpaka basi naimani hapa kuna watu hawatapinga..

Japo upande wa mahusiano sipo strong na mtu huwa natembeq na mashangazi..

Ila mengine yote uliyoongea napita nayo hvo hivo hvo..

Lakini mkuu ujue kuna kitu nimejifunza aisee mi licha ya kupambana kote hivi ila nina amani ya Moyo...

Sidaiwi
Sichukiwi na watu
Nafurahia mahusiano yangu
Kiufupi hakuna kitu cha kunipa stress mpaka sasa...

Katika haya maisha pambana upambanavyo ila kumbuka kuishi,..

Ni lazima kuwepo na class ili maisha yaendeleeeee kikubwa hakuna kukata tamaaa..

Mi miaka ya zamani nilikua najiuliza inakuaje mtu anapata mashangazi...

Nikaanza kupambania namshukuru Mungu alhamdullilah sasa hvi si haba connection za mashangazi za kutosha.

Kwahyo tusichoke no one knows tomorrow... Usije kujidanganya ukamshirikisha Mungu wako kwa kuingia katika imani za waganga be strong

Mkuu uzi wako umenigusa sana..
Mi nashangaaa kina Vishu Mtata wanalewa chakali na kila siku pesa wanapata..

Kuna kipindi nilitamani niwe panya road.
Maana nyumbani walinichoka wakawa wanajaribu kunifananisha na mbwa koko niliye kosa jina πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
 
Nipe connection ya mishangazi hiyo mkuu😁
 
Kufanya hayo uliyoeleza haimaanishi ambae anafanya basi ana Imani haba kuliko asiyefanya.

Jitihada haishindi kudra.

Mwisho wenye mafanikio wengi hawafuatishi mifumo yaani njia za janja janja zinahusika
 
Mafanikio mara nyingi hayawafuati watu wanaojituma jitahidi kuwa na elimu ya pesa elimu hiyo haifundishwi shuleni
Very true ukishajitambua basi lazima upishane nayo nadhani Kuna namna imewekwa.

Watu wote Wakiwa kama mtoa mada unategemea Malaya wanaishi Kwa kujiuza wafakula na kulelea Watoto na mama zao waliozeeka kiaje?

Lazima wawepo wengi extravagant Ili na hao wengine wapate.eg ukikamia jambo lolote na kuwa nalo mihemko hutoboi mpaka uingiliwe mara kadhaa Kwa faida ya wengine na hasara kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…