Shida ni nini kwenye haya maisha? take its so serious.

Dogo nani anaelewa, hizo pesa za kulewea natoa wapi mkata ufuta mimi, bora wewe Ant Dorry anakuita mkanywe visungura
 
Wanaotoboa wengi ni wanao work smart na si wanao work hard. Watu wenye fedha wanatumia akili zaidi kuliko nguvu.
People who earn significant amounts of money often don't break a sweat while doing so, whereas those earning minimal amounts tend to work tirelessly.

Hivyo mkuu work smart not hard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…