Shida sio kuweka ndani wakandarasi. Mh Mbarawa hatuna wafuatiliaji mpaka pesa zinapekenywa?

Shida sio kuweka ndani wakandarasi. Mh Mbarawa hatuna wafuatiliaji mpaka pesa zinapekenywa?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Wakati muafaka tuwe wazi wapendwa

Namuona Mh Mbarawa ITV analaani mkandarasi kala bilioni tatu. Naomba tuwe wazi wapendwa hizi pesa hazijatoka kwa wakati mmoja kuna watu wamesaini kila baada ya muda.

Sasa kama hilo ni tatizo shida sio kuweka ndani wakandarasi hao waliosaini pesa zitoke wametoaje bila kuangalia miradi iliyotekelezwa?

Mkandarasi akiomba hela anasema anafikisha mradi mpaka sehemu fulani. Leo amechota mpaka bilioni tatu mnatuonyesha gofu la milioni 200 unahisi shida ni mkandarasi?

Hapana shida ufuatiliajiii Mh Mbarawa mpaka gofu limebomoka means hakuna wafuatiliaji.

Tubadilike kwa hili msisubiri mtu ameshachota mabilioni mnatuonyesha anapelekwa mahabusu thats not a solution

Lets deal with SRC
 
Pdidy, Ila mhenga Pdidy na mwandiko wako bana wenye volume/sauti ya juu/sauti ya nne unafurahishaga sana

Shukrani kwa maoni na mtazamo wako
 
Back
Top Bottom