ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Dunia ya sasa yenye vita ya uchumi kila kona Ukiwa mpole sana, mstaarabu, huna ugomvi na watu, unaongea kwa sauti ya chini kama padre watu watakupenda sana. Kila mtu atasema huyu jamaa ana roho nzuri hanaga shida na mtu, ana maadili
Lakini sasa ukifika muda wa michongo ndiyo utaanza kuona mapicha picha.
Kama Kuna dili linafanyika pembeni,kwa mfano maofisini si unajua mambo ya posho sometimes per diem za uongo na ukweli labda za magumashi watu wanaweza hata kukuandika kwenye fomu ya malipo ila siku ya mgao Aah, huyu mwacheni bwana... huyu ni mtu wa dini sana ustaadh.msimwambie kama kuna activity fulani wakakusainia Wakati huo wale walevi, watukutu, watata, watoro kazini na madeni ya kila kona tayari wameingizwa kwenye deal kwa sababu wanajua ikifurumuka na wakajua hawajapata hela inakuwa utata...
Mwishowe unakuwa mtu anayependwa na kila mtu lakini account yako ndiyo haipendwi na mtu.
Ndo maana kuna kauli kwamba kwenye ma BAR watu hupeana madeal kwanini kwasababu Wenye pesa wengi wanapenda mtu mwenye kujiamini, mjanja kidogo, risk taker. Wewe ukiwa mpole sana unaweza kuishia kuwa mshauri wa maadili wa kundi huku wengine wakila matunda ya shughuli.
Watoto wa mjini wanakwambia aibu utaona wewe uchague Kwenye dunia ya leo, bora uwe mtu anayependwa na kila mtu lakini michongo yote inapita pembeni yako, au uwe mjanja kidogo ambaye uko na kasi ya ma don watoto wa mjini...