ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
ukiona unapendwa tu maofisini jua hutapata hela unatakiwa uonekane kama jambazi hivi mtu ambaye hata kukabidhiwa fungu la kazi waogope ogope wahisi kama unaweza kuzila kabla ya mgao ndo utaheshimikaHili suala nimejifunza siku za karibuni. Mwaka ujao wa fedha nitakuwa na roho mbaya sana kwa washenzy wote waliokuwa wananichukulia poa.
Wewe mtu akikuamini ndio kaisha hivyoo!Wapole wapo ofisini hutumika kama ngazi, lakini pia mtu mpole mpole haaminiki saaana, anaweza chomoa mkanda
😁😁😁 kwanini mimi jamani,Wewe mtu akikuamini ndio kaisha hivyoo!
Kuna bwege mmoja issue za pesa huwa anamshilikisha bestie yake ila akihitaji msaada wa fedha anakuja kwangumkia juu mwendo wa ngiri bila aibu. Dawa yake inachemkaukiona unapendwa tu maofisini jua hutapata hela unatakiwa uonekane kama jambazi hivi mtu ambaye hata kukabidhiwa fungu la kazi waogope ogope wahisi kama unaweza kuzila kabla ya mgao ndo utaheshimika
Wewe ni tapeli.😁😁😁 kwanini mimi jamani,
😁😁 kwaiyo mie ni mpole au mkorofi yani sijakuelewa hapa mpendwaa, nimekuambia nitakupiga kabali moja matata sana ili moja na mbili ikaeWewe ni tapeli.
Upo sahihi mkuuWapole wapo ofisini hutumika kama ngazi, lakini pia mtu mpole mpole haaminiki saaana, anaweza chomoa mkanda
Nimekuelewa sana so inategemea na nature ya ofisi yenyewe kuna hizi nyingine hela ni boss then inapita kwa mkuu wa kitengo nyie wengine wachini ni kutumwa sasa ndo hapo ukiwa mpole kwenye team unashangaa mkuu wa department hakuweki anaenda na majambazi wenzakeOfisini mimi ndio mtu ambae ni cool zaidi kuna muda naona wananitumia ila hawajui kuwa am very smart na ukizingatia hakuna alienizidi elimu hata bosi. Moves zangu nazifanya kwa akili sana najua kabisa nikiingilia hapa natokea wapi. Kwa kifupi naaminika sana na sijawahi felisha kazi, hata zinazowashinda wengine nikipewa mimi chaap tu nazimaliza. Hapa ndio naonaga elimu ni muhimu sana.
Hizo za kupiga kila mtu anajipigia mishindo kivyake, kazi unayoifanya ndio inaamua upate au ukose hakuna ushirikiano kwenye mishindo.
Sisi snichi ndio tunamchinjia mbali akale unafki wake ila kama uko peace tunalindana.Nimekuelewa sana so inategemea na nature ya ofisi yenyewe kuna hizi nyingine hela ni boss then inapita kwa mkuu wa kitengo nyie wengine wachini ni kutumwa sasa ndo hapo ukiwa mpole kwenye team unashangaa mkuu wa department hakuweki anaenda na majambazi wenzake
Sema serikaliniNimekuelewa sana so inategemea na nature ya ofisi yenyewe kuna hizi nyingine hela ni boss then inapita kwa mkuu wa kitengo nyie wengine wachini ni kutumwa sasa ndo hapo ukiwa mpole kwenye team unashangaa mkuu wa department hakuweki anaenda na majambazi wenzake
Sehemu nyingi watu wakweli hawapendwi hivyo maana mtu mkweli anytime akibananishwa tayari kauza ramani mmeisha ila wale mabwana waongo waongo machawa wa ofisi fix fix km zote wale wanapendwa sana sababu wanajulikana huyu hata siku kikibuma akibananiwa hawezi kuuza ramani lazima awapige fix tu muongo kishenziLakini sasa ukifika muda wa michongo ndiyo utaanza kuona mapicha picha.