DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Laiti morogoro kungekuwa na maji ya uhakika kama dar hivi au Tanga mjini.

Trust me Moro ni mji mzuri sana kuishi na kiuchumi.

Sema ndivyo basi tena.
 
Miaka fulani kwenye utafutaji niliendaga dodoma,kyna sehemu inaitwa segala,aise huko nlikutana na shida na maji balaa
Maji ilikuwa kama almasi huko kwa sasa sijui hali ikoje
Maana huko nakumbuka kuoga ilikuwa unajipiga passport size tu

Ova
Dodoma ki geographia Haina maji mazuri na yakutosha Kwa kizazi Cha muda mrefu, Serikali ilifosi TU kuhamia dom kisiasa, Kuna vigezo vingine vilipuuzwa
 
Laiti morogoro kungekuwa na maji ya uhakika kama dar hivi au Tanga mjini.

Trust me Moro ni mji mzuri sana kuishi na kiuchumi.

Sema ndivyo basi tena.
Lakini mbona wana vyanzo vingi vya maji tena kutoka milimani
Naona uzembe tu wa watendaji huko
Na kutokujali wananchi

Ova
 
Dodoma ki geographia Haina maji mazuri na yakutosha Kwa kizazi Cha muda mrefu, Serikali ilifosi TU kuhamia dom kisiasa, Kuna vigezo vingine vilipuuzwa
Aise dodoma nlipakubali kwa shida ya maji,nlikaaga mlowa miaka fulani
Aise ukiwa na maji unaonekana mfalme,dah wakat ule mbunge malecela huko
Aise hii nchi ina vituko sana

Ova
 
Aise dodoma nlipakubali kwa shida ya maji,nlikaaga mlowa miaka fulani
Aise ukiwa na maji unaonekana mfalme,dah wakat ule mbunge malecela huko
Aise hii nchi ina vituko sana

Ova
Nilifika dom for th first time, nikwanya maji nikabakiza matone kwe kikombe, nikakiacha mpaka asubuhi, asabuhi nakichukua kile kikombe nakuta ya matone yamekuwa chumvi kabisa πŸ˜‚,

Nikajisemea moyoni huu mkoa nisipokuwa makini nitapauka pau
 
Poleni sana.
Sasa kama maji ni shida watu wanagegedana vipi wanaoga kitu gani baada ya tendo pendwa?
Mbunge na waziri wapo bungeni kupiga domo la DP World ije Tanganyika.
Ndio Wana tumia hayohayo maji machafu kutoka mindu
 
Kuna mtu namjua kalipia aunganishwe maji hapo Moro tangy mwaka Jana Kila siku akienda Moro wasa wanamwambia tutakupigia.

Kumbuka ashalipia Kila kitu.

Yaani kama Kuna idara ya maji imeoza na kuvunda uvundo wa funza basi MORUWASA.
Daa mpe pole, Ndio mambo ya Serikali full bureaucracy
 
Morogoro viongozi wanalala sana aseee mbunge wetu kuongea tu kwenyewe hawez ayo matatizo atasolve vip sasa
 
Morogoro viongozi wanalala sana aseee mbunge wetu kuongea tu kwenyewe hawez ayo matatizo atasolve vip sasa
TATIZO la mbungu wa Moro ni shule kichwani, hajiamini kama mtu anayeweza kutatuwa changamoto za jamii kitaalamu, Lakini CCM hii ndio njia wanayopenda kujaza mabunge vilaza bungeni ili wasipate changamoto ya maswali bungeni
 
MORUWASA toeni majibu sahihi ya malamisho ya wateja wenu wa morogoro municipal
 
Ndomana mabomba yakitoa maji yanatoa ukijani au rangi ya ugoro maji

Ova
Siasa za hovyo sana, kunawatu wanafanya kazi za mbogamboga, uvuvi, kilimo, ufugaji, hawalipi kodi lakini wanaharibu mazingira ya bwala la mindu, na kuleta hasara kubwa , mindu imejaa tope , Kina Cha maji kumepungua mno
 
Mbona huko ulikotoka matatizo ya kule hujayasemea Mr. Blender?
Au ndiyo kusema nyani haoni lenduku?
Charity begins at home!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…