DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aisee nilikuwa cjui haya, 😂 je sheini ni wakuja?
Shein ni mpemba wa Chokocho , njaa , woga kuliko kunguru vinamsumbuwa , mtu na elimu yake ya Phd kaamua kuzifuata nyayo za Lipumba na Kabudi
 
Asante, mazingira Moro.wameyaharibu sana nashangaa kule milimani bado wanajenga vijumba tuu na huduma za kijamii zinapelekwa.
Kuna Barabara, minara ya SIMU, Yan 😂 Kuna mji kabisa mlimani
 
Shein ni mpemba wa Chokocho , njaa , woga kuliko kunguru vinamsumbuwa , mtu na elimu yake ya Phd kaamua kuzifuata nyayo za Lipumba na Kabudi
Pesa sabuni ya roho, siunaona Wagner group wamepiga U-turn
 
Kwa heri morogoro, nimerudi kitengo Cha KAzi, tutaonana baadae kidogo
 
Nilikuwa kikazi mkoani MOROGORO, nikapita kwa ndungu yangu mafiga iasee, wananchi wa Morogoro municipal wana shida ya maji balaa.

Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo la 88.

Yani week nzima maji yametoka mara tu yani 😤, tena mwenyeji wangu ananiambia hata masaa 2 hayakufika yakakatika.

Viongozi wa mkoa wa Morogoro acheni propaganda wananchi wenu wanaumia, maonesho ya 88, kila mwaka vitu ni vilele tu, watu wameshawazoea hakuna jipya, na hata wakulima wenyewe hawanufaikii kivile, kwasababu kilimo sio maonyesho bali ni shambani.

Pia usumbufu mwingine niliouona ni moshi utokao kwenye kiwanda cha ku-process tubacco, aisee harufu ya moshi wa tobacco ikifika mida ya jioni ni kali sana, mpaka maeno ya SUA huku inafika embu imangini apo means ni karibia mjini mzima, ikifika mida ya jioni wananchi wakiwemo watoto wadogo wamama wajawazito wanavuta moshi mzito wa tumbaku (tobacco).

Viongozi wa mkoa wa Morogoro kuweni na weledi kwenye majukumu yenu ya kazi.

Pia nasikia mbunge abood ametoa basi la maziko, ina maana watu wa Morogoro maitaji yao ni kufa na kuzikwa tu yani 😂.

Wananchi wa Morogoro municipal na viongozi kuweni serious.
Kunywa bia pimbi wewe
 
morogoro maji ya bomba ya kilini ni machafu kama ya mgodini, nilikuea sua hapo maalaka inatuambia tungoje mvua, wananchi walipata shida sna bora wanafunzi underground tanks zaetu zilikuwa zinjazwa full ndo wanafuata wanaichi wa CCM
 
Kero nyingine ananiambia huwa idara ya maji wanafungulia upepo mwingi sana [emoji1787] badala ya maji , ivyo kupelekea bill za maji kuwa kubwa sana, Kuna kipindi jamaa , bili ilikuja elfu 74k,

MORUWASA Acheni huu wizi wa kufungulia upepo badala ya maji, hiki kitu nimekiona pia Dodoma, HAta dar wanafanya ivi,

Nikama imekuwa Nika mchezo kao hawa idara za maji,

Sehemu pekee ambako niliona maji hayana shida sana, na safi na salama Kwa kunywa bila kuchemsha ni moshi, hongerani sana idara ya maji ya mkoa wa Moshi (Kilimanjaro) , endeleeni msirudi nyuma [emoji120][emoji1666]
Mamlaka ya maji ya moshi na tanga kila mwaka wanabeba tuzo ya utoaji huduma bora na maji ya uhakika bila kukatika katika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana.
Sasa kama maji ni shida watu wanagegedana vipi wanaoga kitu gani baada ya tendo pendwa?
Mbunge na waziri wapo bungeni kupiga domo la DP World ije Tanganyika.
 
Kero nyingine ananiambia huwa idara ya maji wanafungulia upepo mwingi sana [emoji1787] badala ya maji , ivyo kupelekea bill za maji kuwa kubwa sana, Kuna kipindi jamaa , bili ilikuja elfu 74k,

MORUWASA Acheni huu wizi wa kufungulia upepo badala ya maji, hiki kitu nimekiona pia Dodoma, HAta dar wanafanya ivi,

Nikama imekuwa Nika mchezo kao hawa idara za maji,

Sehemu pekee ambako niliona maji hayana shida sana, na safi na salama Kwa kunywa bila kuchemsha ni moshi, hongerani sana idara ya maji ya mkoa wa Moshi (Kilimanjaro) , endeleeni msirudi nyuma [emoji120][emoji1666]
Halafu maji ya boza unakuta wanauza hao watu wa moruwasa. Yani ningekua kiongozi ningewahamisha au kuwafukuza watu wote ofisini nilete wapya
 
Poleni sana.
Sasa kama maji ni shida watu wanagegedana vipi wanaoga kitu gani baada ya tendo pendwa?
Mbunge na waziri wapo bungeni kupiga domo la DP World ije Tanganyika.
Uncle nchini Ina enda kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Kuna mtu namjua kalipia aunganishwe maji hapo Moro tangy mwaka Jana Kila siku akienda Moro wasa wanamwambia tutakupigia.

Kumbuka ashalipia Kila kitu.

Yaani kama Kuna idara ya maji imeoza na kuvunda uvundo wa funza basi MORUWASA.
 
Morogoro kuna watu wanatumia maji kutoka sehemu mbili, kuna wale ya kutoka milimani na wengine wanatumia kutoka pale mindu,
Maji ya mindu ni magonjwa tupu

Ova
Hayo ndio yanaensa msamvu, kihonda, mafiga, nanenane tubuyu na kwengineko kwenye mini mipya.

Tabu tupu
 
Isee we jamaa Kila sehemu bongo unaijua, upewe mau yako hapa JF[emoji253][emoji258][emoji272]
Miaka fulani kwenye utafutaji niliendaga dodoma,kyna sehemu inaitwa segala,aise huko nlikutana na shida na maji balaa
Maji ilikuwa kama almasi huko kwa sasa sijui hali ikoje
Maana huko nakumbuka kuoga ilikuwa unajipiga passport size tu

Ova
 
Back
Top Bottom