DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nimekaa sana milima ya kizunguzi huko...lumbiji huko miaka ya 70 wacuba walitega maji na kuyaleta kizunguzi shule
Tatizo nchi hii wahusika hawafatili
Wao wanataka kila kitu waje wageni wWafanyie

Ova

Acha tu Mkuu ,viongozi wetu hawana nia ya dhati ya kumkomboa mwananchi na pia kujali future ya vizazi vijavyo ,wao wanawaza matumbo yao tu.
 
Harufu haiwezi kufika SUA bhana, dont lie the mass ndugu
Nimefika SUA, ni siku ya Tano SS, na harufu ya Moshi wa tumbaku tunaisikia vilivyo, Sema wananchi hawana pa kusema TATIZO hilo,

Wanasema harufu zamani ilikuwa haifiki sua , inaishia manzese , SS wanashangaa, mpaka huku Kwa wakubwa nao imenza, kufikia.

Ngoja uongozi wa chuo Cha SUA watalifanyia kazi, hawatakubali hili swala liendeleee ,wameliona na Lina wakera sana ,
 
acha wateseke.wanavuna walichopanda.maji yalikuwa yanamwagika kutoka milimani.wakakata miti huko.haya ndo matunda yake
 
acha wateseke.wanavuna walichopanda.maji yalikuwa yanamwagika kutoka milimani.wakakata miti huko.haya ndo matunda yake
Na Bado wanaendelea kukata miti mpaka iishe yote
 
Uislamu ni vitendo si mashirika , hao wote watakuwa ni walafi , wangalianza kujipanga kuliondowa Tatizo la maji,

Huku ZnZ, hali ndio hiyo , Raisi haondoki misikitini ni unafiki mtupu , yeye ndiye mwizi mkubwa
Embu tupe umbea, kwani hatoki msikitini, au anavuta uradi📌
 
Morogoro kuna watu wanatumia maji kutoka sehemu mbili, kuna wale ya kutoka milimani na wengine wanatumia kutoka pale mindu,
Maji ya mindu ni magonjwa tupu

Ova
Isee we jamaa Kila sehemu bongo unaijua, upewe mau yako hapa JF💐🌻🌼
 
Niki type D kwenye keyboard, inakuja DP world , ma IT nisaidueni sitaki kuliona hili jina kwenye simu yangu
 
Hii kitu ni kweli 100% Moro municipal kunashida kubwa sana ya maji nasikitika sana Moro mvua nyingi zanyesha Kuna vyanzo vingi vya maji lakini Huduma ya maji mbovu mnoo mbunge abood anasinzia bungeni anasubiri wananchi wafe kwa kiu Cha maji atoe mabasi akawazike
 
Nilikuwa kikazi mkoani MOROGORO, nikapita kwa ndungu yangu mafiga iasee, wananchi wa Morogoro municipal wana shida ya maji balaa.

Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo la 88.

Yani week nzima maji yametoka mara tu yani 😤, tena mwenyeji wangu ananiambia hata masaa 2 hayakufika yakakatika.

Viongozi wa mkoa wa Morogoro acheni propaganda wananchi wenu wanaumia, maonesho ya 88, kila mwaka vitu ni vilele tu, watu wameshawazoea hakuna jipya, na hata wakulima wenyewe hawanufaikii kivile, kwasababu kilimo sio maonyesho bali ni shambani.

Pia usumbufu mwingine niliouona ni moshi utokao kwenye kiwanda cha ku-process tubacco, aisee harufu ya moshi wa tobacco ikifika mida ya jioni ni kali sana, mpaka maeno ya SUA huku inafika embu imangini apo means ni karibia mjini mzima, ikifika mida ya jioni wananchi wakiwemo watoto wadogo wamama wajawazito wanavuta moshi mzito wa tumbaku (tobacco).

Viongozi wa mkoa wa Morogoro kuweni na weledi kwenye majukumu yenu ya kazi.

Pia nasikia mbunge abood ametoa basi la maziko, ina maana watu wa Morogoro maitaji yao ni kufa na kuzikwa tu yani 😂.

Wananchi wa Morogoro municipal na viongozi kuweni serious.
 

Attachments

  • DA5E743F-862F-4647-88F5-B93E79E514DB.jpeg
    DA5E743F-862F-4647-88F5-B93E79E514DB.jpeg
    134.4 KB · Views: 2
Hii kitu ni kweli 100% Moro municipal kunashida kubwa sana ya maji nasikitika sana Moro mvua nyingi zanyesha Kuna vyanzo vingi vya maji lakini Huduma ya maji mbovu mnoo mbunge abood anasinzia bungeni anasubiri wananchi wafe kwa kiu Cha maji atoe mabasi akawazike
Wazawa wa morogoro ie (waluguru), wanapenda vitu vya kijinga, vitu vya Bure, bado wanawaza kizamani, na ndio maana wamepata mbunge mjinga kuwaongoza
 
Back
Top Bottom