DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Jamani Morogoro morogoro yeeee maji yatirirka milimani yooo! Inasikitisha Sana.
Nimekaa sana milima ya kizunguzi huko...lumbiji huko miaka ya 70 wacuba walitega maji na kuyaleta kizunguzi shule
Tatizo nchi hii wahusika hawafatili
Wao wanataka kila kitu waje wageni wWafanyie

Ova
 
Moro tyfod ndiyo nyumbani

Ova
Mwenyeji wangu bahati nzuri anajiweza, anao uwezo wa kuchemsha maji na kuyachuja Kwa kitambaa cheupe kisafi, Kwa sababu ananiambia Kuna sikua maji yanatoka ya kijani, Yana rangi ya ugoro , na siku nyingine Yana harufu ya mavi ya mbuzi au ng'ombe, Yan 😂 ni balaa Mzee,
Na waza familia masikini Wana huo muda wa kusafisha maji ya kunywa
 
Mwenyeji wangu bahati nzuri anajiweza, anao uwezo wa kuchemsha maji na kuyachuja Kwa kitambaa cheupe kisafi, Kwa sababu ananiambia Kuna sikua maji yanatoka ya kijani, Yana rangi ya ugoro , na siku nyingine Yana harufu ya mavi ya mbuzi au ng'ombe, Yan [emoji23] ni balaa Mzee,
Na waza familia masikini Wana huo muda wa kusafisha maji ya kunywa
Morogoro kuna watu wanatumia maji kutoka sehemu mbili, kuna wale ya kutoka milimani na wengine wanatumia kutoka pale mindu,
Maji ya mindu ni magonjwa tupu

Ova
 
Nilikuwa kikazi mkoani MOROGORO, nikapita kwa ndungu yangu mafiga iasee, wananchi wa morogoro municipal wana shida ya maji balaa.

Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo la 88.

Yani week nzima maji yametoka mara tu yani 😤, tena mwenyeji wangu ananiambia hata masaa 2 hayakufika yakakatika.

Viongozi wa mkoa wa Morogoro acheni propaganda wananchi wenu wanaumia, maonesho ya 88, kila mwaka vitu ni vilele tu, watu wameshawazoea hakuna jipya, na hata wakulima wenyewe hawanufaikii kivile, kwasababu kilimo sio maonyesho bali ni shambani.

Pia usumbufu mwingine niliouona ni moshi utokao kwenye kiwanda cha ku-process tubacco, aisee harufu ya moshi wa tobacco ikifika mida ya jioni ni kali sana, mpaka maeno ya SUA huku inafika embu imangini apo means ni karibia mjini mzima, ikifika mida ya jioni wananchi wakiwemo watoto wadogo wamama wajawazito wanavuta moshi mzito wa tumbaku (tobacco).

Viongozi wa mkoa wa morogoro kuweni na weledi kwenye majukumu yenu ya kazi.

Pia nasikia mbunge abood ametoa basi la maziko, ina maana watu wa Morogoro maitaji yao ni kufa na kuzikwa tu yani 😂.

Wananchi wa morogoro municipal na viongozi kuweni serious.
Cc Myangu Faana Robert Heriel Mtibeli
 
Uislamu ni vitendo si mashirika , hao wote watakuwa ni walafi , wangalianza kujipanga kuliondowa Tatizo la maji,

Huku ZnZ, hali ndio hiyo , Raisi haondoki misikitini ni unafiki mtupu , yeye ndiye mwizi mkubwa
Mwinyi na uchumi wake wa blue naye anakuibieni? Si anatajwa kuwa mwadilifu huyu? 😳😳😳😳
 
Mwenyeji wangu bahati nzuri anajiweza, anao uwezo wa kuchemsha maji na kuyachuja Kwa kitambaa cheupe kisafi, Kwa sababu ananiambia Kuna sikua maji yanatoka ya kijani, Yana rangi ya ugoro , na siku nyingine Yana harufu ya mavi ya mbuzi au ng'ombe, Yan [emoji23] ni balaa Mzee,
Na waza familia masikini Wana huo muda wa kusafisha maji ya kunywa
Mimi nilipewa chujio fulani na wale wazungu Irishaid wa berega,special kuchujia maji

Ova
 
"imangini"
Acha umbea, fata kilichokupeleka. Nyie ndo mnatembeleaga ndugu kuchunguza wanaishije.
 
Harufu ipo mazingira karibu na kiwandani lakini Sua haifiki
Acha kuongea Uongo Mzee, najua umekuja kuwatetea Kwa kuwa mnajua mmevunja Sheria za mazingira , na mnatakiwakupigwa fine Kwa kosa hili, Sema nchi yetu viongozi ni kama misikule vile
 
Kama mbeya wa denish walivyo supply mfumo wa,maji huko
Nchi hii ss hatuwezi kitu mpaka tufanyie,nchi ina balaa hii

Ova
Kila mradi tunataka kupiga zaidi,unategemea tutaweza kufanya project za maana kweli , ACHA wawe chawa wa mama ndio wanacho weza fanya Kwa ufasaha
 
Back
Top Bottom