Na upuuzi wake wa busara bila sheria wahun wanaenda kumng'oa, dunia hainaga fair!Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
Taasisi kubwa kama Simba huwezi kuiongoza kwa kutumia busara. Yeye anadhani anajenga kumbe ndio anabomoa. Wenzake wanamuona punguani, watamng'oa kweli na busara zake za hovyo.Na upuuzi wake wa busara bila sheria wahun wanaenda kumng'oa, dunia hainaga fair!
Hayo mabadiliko yanaivuruga vipi simba? Na yanasababisha vipi Mangungu kuwa kikwazo?Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
Katiba haitambui mwekezaji mmoja, inataja wawekezaji. Kuwa na nwekezaji mmoja ni kosa kwa mujibu wa Katiba ya simba. Katiba inampa nguvu kiongozi wa upande wa wanachama (51%), Mangungu, lakini Mangungu anaswagwa na Magori (49%). Kutekeleza haya ni sehemu muhimu ya kufikia mabadiliko ndani ya Simba.Hayo mabadiliko yanaivuruga vipi simba? Na yanasababisha vipi Mangungu kuwa kikwazo?