Shida ya Yanga imeanzia hapa

Basi sisi furaha yetu ni kuwatia msukosuko. Mbona hujiulizi vipi kama yanga ingeshinda dhidi ya al hilal atmosphere ingekuwaje hapa jf.
si ni ninyi mlikuwa mnadai mtafika fainali na kuchukua kombe klabu bingwa africa msimu huu.
 
Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame" uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia mlogaji pambaneni ninyi kama ninyi msijihusishe na mambo ya jirani hata kidogo.
[emoji1752][emoji1545]
 
Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame" uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia mlogaji pambaneni ninyi kama ninyi msijihusishe na mambo ya jirani hata kidogo.[emoji1787][emoji24]
 
Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame" uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia mlogaji pambaneni ninyi kama ninyi msijihusishe na mambo ya jirani hata kidogo.
[emoji1752][emoji1545]
Nadhani umenipata mkuu
 
Rudi kwenye mada usikurupuke
 
Tangu matokeo ya kwa Mkapa Jumamosi iliyopita umekuwa mkali kweli kweli.
 
Usijisahaulishe mwaka jana makolo mlitolewa CCL kwa mkapa tena ukiwa unaongoza goli mbili bila... Mpira haujaisha mpaka itakapopulizwa filimbi ya mwisho.. Naona mko bize na yanga mnasahau na nyie mna mechi.. vipi hau wa angola wakapindua meza?
hawa jamaa utadhani ni mabinti
 
Nongwa lazima iwepo,Yanga walijinasibu wamesajili wachezaji wa kimataifa kwa gharama kubwa inakuwaje sasa wanashindwa kupenya hata makundi!
 
Mikia matatizo tupu
 
Kwasababu ndio kihere here wao ndo mashabiki wao wanaenda airport kupokea wageni na viongozi wao wanavaa jezi za team pinzani wanaokuja kucheza na mnyama umeona AZAM lini wanafanya hvyo
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kama uyasemayo ni kweli, basi kesho game ya simba si rahisi kama wengi wadhaniavyo... Lolote laweza kutokea... VISASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…