Shida zisikie tu kwa mwenzako. SIO POA!

Niliwahi kupitia shida na matatizo, nilijihisi kama sina maana ya kuwepo hapa Duniani.

Nilidhihakiwa kisa sina chochote, wengine walitumia kama fimbo kunichapa nayo. Namshukuru Mungu kwa hatua niliyonayo maana bila changamoto zile nisingekuwa vile nilivyo leo.

Usichoke kupambana na kumuomba Mungu kaka, siku yako yaja.
 
Dah sio poa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…