Shigongo ajiunga Chuo Kikuu kuanza Shahada ya kwanza..

Anaweza akasapu masomo lkn kmaisha ameshakuacha mbali sanaaa,he study for leisure wakati ww unawaza ajira kila unapopewa assignment.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umemwambia kaukweli.
 
Libaba lizima halioni hata aibu
Mmmhh,, huna akili simbilisi wewe! Yaani kusoma napo ni aibu? Hata Mimi nilienda degree nikiwa Mkubwa lakini hata hivyo nili-enjoy.
 
ud kuna mzee yuko mechanical dah yule mzee hua anadisco sana alafu anaomba upya tena,,,ameshadisco zaidi ya mara tatu wadau wa coet wanamjua nilimkuta nikamuacha yan kuna mda alijitahidi kuvuka first yr kwenda second alifurahi kinoma hakuamin ingawa safar ikaishia hapo hapo second yr

yule mzee ana ndoto hiko tu ndo nnachomkubali hakati tamaa
kila mtu ana ndoto zake hamna wa kumpangia mwenzie
 
Mtu ana drive Vogue alafu anaenda kulilia mkopo? Huko si ni kubemenda pesa za wanafunzi masikini!
 
...ushamba, ulimbukeni na ujinga ni ndugu mapacha. sizani kama kulikuwa na sababu ya kutangaza eti anaenda kuanza first year. inashangaza kwa kweli
 
Chief wabongo wengi wana kwinyo sana, hawapendi kuona mtu anafanikiwa lazima wabonge shit.
 
ANASOMA DEGREE APATE UTEUZI WA UDC, SI UNAJUA TENA MKULU HATEUI DC BILA DEGREE
 
presentation na kukaa vibaya ! ulikuwa unasoma dondoo kwenye mapaja au kwenye chupi yake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…