nadhani shule za kata hazina vilaza wa kiwango hicho !! wengi wanajua umuhimu wa elimu na kwao umri hauzuii mtu kutafuta maarifa mapya !!Am pretty sure uneenda shule mkuu
Hao wanaoshangaa ni form 4 leavers tu shule za kata
Hivi unajua kupambanua mambo? Mtu unayesema amefanikiwa kimaisha angeenda bodi ya mikopo kugombea mkopo na yatima asiye na chochote? Hilo linanithibitishia kwamba Erick Shigongo ni maskini mkubwa irrespective of his possessions.Anaweza akasapu masomo lkn kmaisha ameshakuacha mbali sanaaa,he study for leisure wakati ww unawaza ajira kila unapopewa assignment.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kila anayesoma anataka ajira yeye ni mwandishi wa habari wa magazeti kuna sheria ya habari mswada uko njiani unataka kuwa mwandishi awe na digriii.Shigongo kajielewa kawahiNajaribu kuvuta picha kwa umri alionao anasoma ili iweje umri wa kustaafu ni miaka 60 yeye saiv atakua around 50 aje kumaliza walau master atakua around 60.me naona huyu anasomea kustaafu au kurefusha historia ya marehemu.
Ushirikina ndo huuKubwa zima hovyo
Hapo akisapu nitacheka kweli
ELIMU HAINA MWISHOLibaba lizima halioni hata aibu
ANACHOENDA KUSOMEA WEWE UNAKIJUALibaba lizima halioni hata aibu
We unayejua kuandika umeandika kitabu ganiMbona ameandika boko hivyo?
Kama ni yeye ameandika hivyo basi napata wasiwasi na kilichopo ndani ya vitabu vyake!
Ameandika kitu ambacho hakina mpangilio yaani hovyo kabisa...
Huko chuo sijui ataenda kuandika hivyo..!??!
Atadiscontunue semister ya kwanza huyu...
Elimu Haina mwisho.Libaba lizima halioni hata aibu
Mkuu,tafakari,chukua hatuwakumbuki.Hapa unaaibika.kubwa sana
we vp ulitakaje akili utumii nn? Elimu haina mwishoLibaba lizima halioni hata aibu
Teh azuiwe kusoma sio?[emoji2]Huyu azuiwe mara moja,elimu yake ya udaku na umbea kupitia magazeti yake inatosha maana akipata hiyo degree atahamia kwenye kutunga Vitini kama Nyambari Nyangwine nadhani wote tuu mashuhuda ya athari za Vitini vya Nyambari kwa Wanafunzi wetu wa Msingi na Secondary.
Nasikia eti huwa anafundisha ujasiliamali, ujasiliamali na degree za vyuo wapi na wapi, huyu nae ni opportunist tu, kwanza anaenda kusoma course gani?Najaribu kuvuta picha kwa umri alionao anasoma ili iweje umri wa kustaafu ni miaka 60 yeye saiv atakua around 50 aje kumaliza walau master atakua around 60.me naona huyu anasomea kustaafu au kurefusha historia ya marehemu.
Elimu haina umri. Shingongo kimaendeleo yupo mbali sana hio degree anahitaji tu kuongeza cheti kabatini na heshima mitaan