Shigongo ajiunga Chuo Kikuu kuanza Shahada ya kwanza..

Anaweza akasapu masomo lkn kmaisha ameshakuacha mbali sanaaa,he study for leisure wakati ww unawaza ajira kila unapopewa assignment.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha dat true man, ila nimecheka hapo uliposema kila akipewa assignment anawaza ajira....[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Maana ya elimu, elimu, elimu ni kuwa ukipata fursa hata uwe na umri gani nenda kasome utainua taifa. Na kwa wale vijana wenye akili nyingi kichwani warushwe madarasa ili wawahi kutuvumbulia vitu taifa lisonge mbele.
Ningefurahi sana kusikia kila mwananchi ana elimu ya kidato cha nne. Hii italeta mwamko na maisha yetu yangebadilika kuwa bora kwa haraka zaidi.
 
Nakumbuka niligraduate koz moja na MTU aliye mbele ya shigongo kiumri nashangaa vijana wa digitali mnastaajabu shigongo kwenda kusoma
Mbona chuo wazee lundo sema jamaa kataka reply nyingi naona anazipata
Kusoma ni marengo kama yalivyo marengo mengine so sioni ajabu kabisa kwa yeye kuwa chuo kwa sasa uzoefu wake akiutumia vizuri atanufaika sana
Namshauri agombee urais wa chuo kisha Tahliso na kuendelea
 
Hivi open university wanapata mkopo kwel?
 
Wewe andika vizuri lugha yetu adhimu ya kiswahili.
Lundo = rundo
Marengo = malengo
Kuwa chuo = kuwa chuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…