herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
Hukusikia kuwa alipewa glass ya maji? ??Hivi ile kesi yake ya kuwadai CCM iliishiaga wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukusikia kuwa alipewa glass ya maji? ??Hivi ile kesi yake ya kuwadai CCM iliishiaga wapi?
ahahahahaaaa atakuambia yeye mlokole hajawahi discoHivi mkuu wewe hujadisco bado??[emoji53][emoji53][emoji53]
Hahaha dat true man, ila nimecheka hapo uliposema kila akipewa assignment anawaza ajira....[emoji2][emoji2][emoji2]Anaweza akasapu masomo lkn kmaisha ameshakuacha mbali sanaaa,he study for leisure wakati ww unawaza ajira kila unapopewa assignment.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aibu kusoma?Libaba lizima halioni hata aibu
DatastarHahahaha vyuo vya ghorofa ya tatu magomeni
Tarehe 12 Januari 2016 Rais mstaafu wa Nigeria Meja Jenerari Mstaafu Olugusen Obasanjo aligrajueti Masters yake!Libaba lizima halioni hata aibu
Mbona chuo wazee lundo sema jamaa kataka reply nyingi naona anazipataNakumbuka niligraduate koz moja na MTU aliye mbele ya shigongo kiumri nashangaa vijana wa digitali mnastaajabu shigongo kwenda kusoma
Form 4 failure na std seven, wana matatizo sanaAm pretty sure uneenda shule mkuu
Hao wanaoshangaa ni form 4 leavers tu shule za kata
Wewe andika vizuri lugha yetu adhimu ya kiswahili.Mbona chuo wazee lundo sema jamaa kataka reply nyingi naona anazipata
Kusoma ni marengo kama yalivyo marengo mengine so sioni ajabu kabisa kwa yeye kuwa chuo kwa sasa uzoefu wake akiutumia vizuri atanufaika sana
Namshauri agombee urais wa chuo kisha Tahliso na kuendelea