Shigongo ni Msukuma na wasukuma ndio wanaongoza kwa kumiliki mapesa Tanzania..
Wasukuma ni watu matajiri zaidi duniani..utafiti wako umeufanya .wapi na wapi?
au umetokea twaweza.
ndio hapo wanasema siri ya mafanikio ni siriKatika mafanikio ya mtu kuna siri kubwa nyuma ya pazia na hatoweza kuisema hiyo siri zaidi ya porojo porojo
Wasukuma ni watu matajiri zaidi duniani..
Amini hivyo mkuu
Kwahiyo unamaanisha mimi ni taahira?siaminigi utaahira
Sawa sawa mkuu..CHUKUA RULA UPIGE MSTARI.
Hivi wasukuma mna tajiri gani ambaye ni notable hapa Tanzania?Umevuka mipaka baada ya kuhusisha africa na dunia nzima
Wasukuma tuna Bashite na Dr Magu.mashi, (The untouchable)Hivi wasukuma mna tajiri gani ambaye ni notable hapa Tanzania?
Wachaga wana Mengi, Shirima wa Precision, Ernest Massawe wa Swala Energy..
Wahaya wana Ali Mafuruki, Rweyemamu wa Escrow, Karamagi..
Sasa nyie wasukuma mna nani ambaye anatambulika hapa Tanzania?
Acha uongoWasukuma ni watu matajiri zaidi duniani..
Amini hivyo mkuu