FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Gwajima ni tajiri au tapeli? Gwajima hawafikii hata akina Mosha na Ngiloi wa PanoneTunaye gwajima anamiliki benki na anataka kuleta ndege tano awe anafundisha maruban hapa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima ni tajiri au tapeli? Gwajima hawafikii hata akina Mosha na Ngiloi wa PanoneTunaye gwajima anamiliki benki na anataka kuleta ndege tano awe anafundisha maruban hapa hapa
Kwahiyo Gwajima nae ni tajiri wa watu wakae serious kumuongelea? Huyo anayefanya biashara ya kukombe sadaka na kutakatisha fedha chafu..Hao waduduinzaji wataanzaje sasa kwa gwajima wakati hata mtemi chenge hawamufikii
Simon mpiga dili huyo... Nikikwambia unitajie shughuli rasmi anayofanya hutaweza kunitajiaKwahiyo gwajima huwez kumupata gogle bas simon kisena
Wachaga ndio matajiri kuliko wasuK.U.M.A.Shigongo ni Msukuma na wasukuma ndio wanaongoza kwa kumiliki mapesa Tanzania..
Nadhani swali analouliza amezipataje pesa? Yaani wasukuma ni sheedah!! Huyu ni wa Mwanza au Shinyanga?Shigongo ni Msukuma na wasukuma ndio wanaongoza kwa kumiliki mapesa Tanzania..
hehehehehe Wasukuma wanajiita matajiri kuliko hata wachaga na wahaya in combine..Wachaga ndio matajiri kuliko wasuK.U.M.A.
Shigongo sijui ni msukuma wa wapi mkuu..Nadhani swali analouliza amezipataje pesa? Yaani wasukuma ni sheedah!! Huyu ni wa Mwanza au Shinyanga?
Wasukuma ndio wana ruhusu akina Mengi, Massawe etc etc waendelee kuwa matajiri but not for long. Matajiri wanabwaga manyanga sasa hivi. Msukuma Noma!Hivi wasukuma mna tajiri gani ambaye ni notable hapa Tanzania?
Wachaga wana Mengi, Shirima wa Precision, Ernest Massawe wa Swala Energy..
Wahaya wana Ali Mafuruki, Rweyemamu wa Escrow, Karamagi..
Sasa nyie wasukuma mna nani ambaye anatambulika hapa Tanzania?
Kwel kabisaKatika mafanikio ya mtu kuna siri kubwa nyuma ya pazia na hatoweza kuisema hiyo siri zaidi ya porojo porojo
Huyu ndio Yule anayeandika novels? Sidhani kama zinalipa kihivyo. Pengine Ana investments nyingine legal and mostly illegal.Jaman hivi huyu mtoto wa mwanza shigongo aliwapikuje hawa watoto wa mujin clauds had akawazidi pesa na akawa juu zaidi yao na kuanza kushusha maghorofa makubwa mujin mwanza na dar
Alifanikiwa vp kunufaika kimuziki na kuwapiku clauds wakati hawa jamaa walikuwa juu zaid yake na team yao ni kubwa zaidi yake wao ni wengi yeye ni mmoja kawazidi vp huyu jamaa
Naomben kuwasilisha
Nyie level zenu wamakonde na wanyamwezi.. Hata siku moja msukuma hawezi kushindana na Mchaga wala Mhaya na Mnyakyusa..Wasukuma ndio wana ruhusu akina Mengi, Massawe etc etc waendelee kuwa matajiri but not for long. Matajiri wanabwaga manyanga sasa hivi. Msukuma Noma!
Msitambie vitu visivyo na maana.
Naona ameshawaboa, sasa mnataka kumlipua.Jaman hivi huyu mtoto wa mwanza shigongo aliwapikuje hawa watoto wa mujin clauds had akawazidi pesa na akawa juu zaidi yao na kuanza kushusha maghorofa makubwa mujin mwanza na dar
Alifanikiwa vp kunufaika kimuziki na kuwapiku clauds wakati hawa jamaa walikuwa juu zaid yake na team yao ni kubwa zaidi yake wao ni wengi yeye ni mmoja kawazidi vp huyu jamaa
Naomben kuwasilisha
Hivyo hamjawahi kujiuliza kwanini Nyerere aliwaweka nyuma wasukuma? Na kwanini mkurya akamuweka jeshini?Nyie level zenu wamakonde na wanyamwezi.. Hata siku moja msukuma hawezi kushindana na Mchaga wala Mhaya na Mnyakyusa..
Wasukuma tuna Bashite na Dr Magu.mashi
Hivi mwana Arusha upo!!Shigongo ni Msukuma na wasukuma ndio wanaongoza kwa kumiliki mapesa Tanzania..
Mkuû si ni wakina nani?Nyie level zenu wamakonde na wanyamwezi.. Hata siku moja msukuma hawezi kushindana na Mchaga wala Mhaya na Mnyakyusa..
Wasukuma..Mkuû si ni wakina nani?
Gwajima ni tajiri au tapeli? Gwajima hawafikii hata akina Mosha na Ngiloi wa Panone