FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Nipo Ostadh..Hivi mwana Arusha upo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Ostadh..Hivi mwana Arusha upo!!
Notable Chagga and upcoming Mengi..Mkuu umemsahau Patrick ngowi wa Helvetic Solar Contractors
Umenitenga jamaaNipo Ostadh..
Mimi sio msukuma. Na tangu nianze kuwaelewa kwa undani wao, wamenitoka moyoni kabisa (with a few exceptions of course)Wasukuma..
We naona umeamua kupambana na Wakenya kule..Umenitenga jamaa
Kwa wachaga umenoa wee huwajui akina meridian ngorika kidia haon ni wachache tu ninao weza kuwapa mikono achilia mbali anika maiko ngaleku (yuke alieanzisha biashara ya dala dala za angan ) weweAisee wasukuma level yao si ya nchii hii hao ni watu tofaut kabisa huwez linganisha na nyie wachaga na wahaya na wanyakusa, hayo makabila yenu yalibahatika kupata pesa za wizi selikalin saiv yamebanwa yanahaha kinoma
Nitajie wahaya watano wanaomiliki hata sem au bus japo mbili mbili na unitajie hao wanyakuswa wanaomiliki japo ghorofa nyota tano nchii nami nikutajie wasukuma vibaba kwanza hakuna mhaya wa bus wa kwenda mwanza au mnyakusa wa bus kutoka mbeya mwanza wote ni wasukuma
wata kwambia eti ni bashite ndo tajir yaoHivi wasukuma mna tajiri gani ambaye ni notable hapa Tanzania?
Wachaga wana Mengi, Shirima wa Precision, Ernest Massawe wa Swala Energy..
Wahaya wana Ali Mafuruki, Rweyemamu wa Escrow, Karamagi..
Sasa nyie wasukuma mna nani ambaye anatambulika hapa Tanzania?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimependa swali lako asee,big up[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni..kwanini awe shigongo na isiwe wewe?[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ofcourse Bashite nae ni tajiri wao anamiliki mkoa..wata kwambia eti ni bashite ndo tajir yao
Shigongo gazeti za udaku ndo zilimbeba... Sasa hivi hali ni tete watu wamehamia mitandaoniJaman hivi huyu mtoto wa mwanza shigongo aliwapikuje hawa watoto wa mujin clauds had akawazidi pesa na akawa juu zaidi yao na kuanza kushusha maghorofa makubwa mujin mwanza na dar
Alifanikiwa vp kunufaika kimuziki na kuwapiku clauds wakati hawa jamaa walikuwa juu zaid yake na team yao ni kubwa zaidi yake wao ni wengi yeye ni mmoja kawazidi vp huyu jamaa
Naomben kuwasilisha
BuchosaShigongo sijui ni msukuma wa wapi mkuu..