Shigongo aliwazidije clauds mapene hadi akawa juu zaidi yao

Hao waduduinzaji wataanzaje sasa kwa gwajima wakati hata mtemi chenge hawamufikii
Kwahiyo Gwajima nae ni tajiri wa watu wakae serious kumuongelea? Huyo anayefanya biashara ya kukombe sadaka na kutakatisha fedha chafu..

Ebu nitajie notable tajiri mwenye kampuni/biashara inayoeleweka ambaye hata google nitampata sio vitajiri vya uchochoroni.

Chenge ni mwizi huwezi kumtaja kama tajiri?
 
Kwahiyo gwajima huwez kumupata gogle bas simon kisena
Simon mpiga dili huyo... Nikikwambia unitajie shughuli rasmi anayofanya hutaweza kunitajia

Lakini sawa, aya nitajie mwingine
 
Shigongo ni Msukuma na wasukuma ndio wanaongoza kwa kumiliki mapesa Tanzania..
Nadhani swali analouliza amezipataje pesa? Yaani wasukuma ni sheedah!! Huyu ni wa Mwanza au Shinyanga?
 
Wasukuma ndio wana ruhusu akina Mengi, Massawe etc etc waendelee kuwa matajiri but not for long. Matajiri wanabwaga manyanga sasa hivi. Msukuma Noma!

Msitambie vitu visivyo na maana.
 
Huyu ndio Yule anayeandika novels? Sidhani kama zinalipa kihivyo. Pengine Ana investments nyingine legal and mostly illegal.
 
Wasukuma ndio wana ruhusu akina Mengi, Massawe etc etc waendelee kuwa matajiri but not for long. Matajiri wanabwaga manyanga sasa hivi. Msukuma Noma!

Msitambie vitu visivyo na maana.
Nyie level zenu wamakonde na wanyamwezi.. Hata siku moja msukuma hawezi kushindana na Mchaga wala Mhaya na Mnyakyusa..
 
Naona ameshawaboa, sasa mnataka kumlipua.
 
Haya ni majungu na ndio maana Watanzania badala ya kujifunza Kwa wenzetu na Ku implement tunabaki vijiweni kusifia wenye nazo na hata kujidai kushindanisha assets zao eg nyumba, magari etc. Huu ni ujinga
 
Nyie level zenu wamakonde na wanyamwezi.. Hata siku moja msukuma hawezi kushindana na Mchaga wala Mhaya na Mnyakyusa..
Hivyo hamjawahi kujiuliza kwanini Nyerere aliwaweka nyuma wasukuma? Na kwanini mkurya akamuweka jeshini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…