johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ila ujinga mwingine bhana! Yaani watu wa Marekani walipe kodi wao hela mnalilia mpewe misaada waTz ni aibu. Ni sawa na mtu uwe na familia harafu huwezi kuilisha ilishwe na baba wa jiraniπ€π€π€π€Mbunge wa Buchosa mh Shigongo amemuomba Rais Trump wa Marekani asitishe Nia yake ya kuzuia misaada Kwa Africa na Tanzania ikiwemo
Shigongo amesema miradi mingi inafadhiliwa na Marekani hivyo kuifuta misaada kutaliangamiza Taifa na Ajira nyingi zitapotea
Shigongo ni Mwandishi wa vitabu kama Yeriko Nyerere wa Chadema
Mlale Unono π
Thatβs dependency syndrome! Tanzania itakuwa taifa ombaomba mpaka lini?Mbunge wa Buchosa mh Shigongo amemuomba Rais Trump wa Marekani asitishe Nia yake ya kuzuia misaada Kwa Africa na Tanzania ikiwemo
Shigongo amesema miradi mingi inafadhiliwa na Marekani hivyo kuifuta misaada kutaliangamiza Taifa na Ajira nyingi zitapotea
Shigongo ni Mwandishi wa vitabu kama Yeriko Nyerere wa Chadema
Mlale Unono π