Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

Kunywa maji mwanangu. Wasanii wameshajanjaruka na Unyonyaji wenu, kutengeneza Brand wanatumia Pesa. No more Mr. Nice au Saida karoli Saga. You dig hommie, be humble
 
Pamoja na Diamond kuvuma sana, hawezi fanya shoo ya kiingilio kikubwa watu wakaingia hapa Bongo.Ni mzuri lakini hatoi mzuka sana kwa watu waliomzoea.
Wewe utakuwa mgeni bongo,hivi kuna msanii bongo anaetoza show zake kiingilio kikubwa bongo kama Diamond?
Diamond are forever mlimani city kiingilio 50,000 alijaza

Zari white party mlimani city kiingilio kilikuwa 50,000 , 100,000 na milioni 1,000,000 alijaza mpaka wengine walibaki nje

Wasafi beach party 25,000 jagwani sea breeze palitapuka

Nenda kafanye research uje kuniambia kama kuna msanii anaweza na kujaribu kufanya izo
 
Hakumaanisha atoze 3000 au 5000 mkuu...hata fiesta show kubwa hawawezi kuweka bei hiyo...jaribu kufikiria ukumpa D milioni 100...mlangoni utachaji shilingi ngapi?
Eric got a point...tuwache ubishi usio na tija.

Kwa maana hiyo shows za D hapa Bongo labda ziwe za charity laa sivyo watu wa hali duni hawatoweza kuingia..
 
Wewe nae hebu kwenda huko!yaani afanye show kiingilio 3000 halafu utegemee Mpopo ampe mil200?!

Kwahiyo Manfongo anayefanya show ya mil2 basi kenya atafanya ya mil30?!bogus kabisa
Usipothaminiwa kwenu hakuna mgeni atakayekuthamini.

Sisi tunaoelewa kiswahili tukilipa 3000 unategemea mzungu asiyeelewa atalipa 100000?!
 
Watu wanaongea kiushabiki tu....eti 3000 au 5000...!!Eric hakumaanisha kumshusha hadhi D....ila facts kwa kutazama hali halisi...unapokuwa too expensive hata home washabiki wako wa nyumbani wale wa Tandale na Mbagala hawawezi kutoa 50000 getini Mlimani Cty.....lakini haimaanishi kiingilio kiwe buku tano...bali kiwe considerate...

Melvine waeleze.
 
Nyie mnaodai mziki umekua na Diamond yupo sawa,mnaweza lipia hata kiingilio cha elfu 50000 kwenye as diamond?
Naona wewe ni wa upande ule!!
Lady jay dee anafanya show za kawaida kabisa na kiingilio kinakuwa 50000 mpaka mikoani bei ni hiyo na anajaza watu mbayaa!!sembuse diamond?!

Darassa alikuwa Arusha mwezi ulopita kiingilio kilikuwa 100000 lakimoja!!na watu walikosa nafasi,Sembuse Diamond?!

Jipange mzee
 
Kumbe 25000 mi nilidhani ile 3000 ulosema...teh teh...that is justifiable.....lakini kama hiyo party ukiandaa wewe halafu D akataka dola 55000 huwezi tena kufanya entrance 25000.
 
Wewe itakuwa mgeni kwenye haya mambo ya burudani!!halafu huyo Eric tunampa za uso kwasababu ni mnafiki tu kama wanafiki wengine!!Diamond ni mara ngapi amefanya show kiingilio ni buku teni tu 10000?!

Hakuna show ya 50000 atakayoiandaa Diamond halafu ibume
 
Wanaweza wanampa ndo maana mwaka Jana aliipwa zaidi milioni 200 na vodacom akafanya show UDOM bure na mabibo hostel Udsm bure kabisa ,
Akafanya wasafi beach party jangwani kiingilio kilikuwa 25000.
Shingongo akitaka kupata faida anamlipa diamond hiyo pesa then show anaipeleka uwanja wa taifa then kiingilia anaweka 10000 uone kama ujakusanya mamilioni ya pesa
Mfano mwaka Jana alifanya wasafi festival iringa pale Samora stadium kwa kiingilio cha 10000 tu alijaza ule uwanja na akakusanya zaidi ya milioni 150
 
Ulichokisema hapo ndicho alikigusia Eric...alisema show za makampuni ya simu wataweza kumpa hiyo pesa dola 55,000 hapa ndani...mtu binafsi inakuwa mtihani....hiyo ya uwanja wa samora ya buku kumi km ilikuwa ameandaa mwenyewe sio jambo la ajabu...lkn ingekuwa mtu binafsi ingekuwa tofauti.
 
Kumbe 25000 mi nilidhani ile 3000 ulosema...teh teh...that is justifiable.....lakini kama hiyo party ukiandaa wewe halafu D akataka dola 55000 huwezi tena kufanya entrance 25000.
Unafanya na unapata faida kubwa vizuri
Mfano ukimpa hiyo pesa diamond then ukaifanyia leaders club unapata faida kubwa tu
Tatizo shigongo anataka show ifanyikie kwenye ukumbi wake Darlive alafu aweke kiingili cha 15000, watu watajaa na hapata tosha ule ukumbi ni mdogo ukizingatia idadi ya watu wa kule na kipato chao
 
Poa poa mkuu.
Ngoja nikatafute ugali wangu.
 
Nishakwenda ukooooo...too much emotions...
Wabongo sisi Khaaaaaa.!
 
Shigongo ana hoja wajameni! Hata kama mtamnyonga lakini apewe haki yake!
 
Shigongo anakosea sana kama umeshindwa bei wapo wanaoweza. Hata kina wizkid ndio kinachowabeba within Nigeria huwezi kukuta wizkidayo kaenda kupiga show mwembeyanga ya promota anayebeep
Siyo kweli. Unaweza kufanya shoo home na nje ukalipwa vizuri. Kwani hao mapromota wa nje hawajui kama una kwenu? Unataka kusema Diamond katookea wapi mpaka kupata shoo za nje? S Mwembe Yanga hiyohiyo!
 
Diamond atafanya Show hata kwa Tsh 500 au BURE Lakini show hizo ataziandaa mwenyewe, hawezi kufanya show za Tsh 500 tena zimeandaliwa na mtu anaitwa Shigongo. Wasanii wameshakuwa wajanja jamani na wanagharamika sana kuandaa kazi zao jamani wapeni muda na wao wa relax - UNYONYAJI MPAKA LINI, Kama vipi na SHIGONGO na wewe anzisha label umiliki wasanii ili uwatumikishe uwezavyo
 
Kwanini hiyo show ya 3,000 lazima iandaliwe na shigongo na siyo WCB Wasafi au SK Entertainment ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…