PreGE2025 Shigongo niliwahidi tshirt nimeleta sijaleta, na wanachi wakajibu umeleta babaaa!

PreGE2025 Shigongo niliwahidi tshirt nimeleta sijaleta, na wanachi wakajibu umeleta babaaa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shigongo pamoja na kuongoza kwa Rushwa lakini hali yake ni tete

Screenshot_2025-06-22-23-23-41-1.png
 
Mbunge wa jimbo la Buchosa Erick Shigongo katika mkutano wake leo alisikia akiwauliza swali wananchi wake kuwa niliwahidi kuleta tshirti nimeleta sijaleta. na wanachi wakajibu umeleta.

Kwahiyo tuseme viziwadi kama hivi wananchi wanapagawa kwa mgombea na kumpigia kura?

wanahitaji ukombozi wa fikra, tshirt kweli?
 
Wananchi wameshajikatia tamaa ya kupata viongozi bora
 
Huo ndo udhaifu wa wananchi wajinga na wapumbavu, kupumbazwa na mambo ya kijinga jinga tu yasiyo kuwa na mustakabali mzima wa maendeleo yao.
 
Mbunge wa jimbo la Buchosa Erick Shigongo katika mkutano wake leo alisikia akiwauliza swali wananchi wake kuwa niliwahidi kuleta tshirti nimeleta sijaleta. na wanachi wakajibu umeleta.

Kwahiyo tuseme viziwadi kama hivi wananchi wanapagawa kwa mgombea na kumpigia kura?

Ivi..., Buchosa bado ni Tanzania eeeh..!!
Dah, hii nchi ni ngumu sana...
 
Erick Shigongo,
Najua we' ni mtunzi mzuri wa Hadithi na riwaya, ila kwa ili hujawatendea vyema kondoo wako,
Kweli binadamu mwenzio, na unaelewa kabisa hana analo elewa ktk ulimwengu huu, wewe unaitumia kama fursa ili waendelee kuishi maisha ya kimasikini vile kweli.....!!
 
Tshirt ni jambo la msingi kwa wananchi kweli kwa nyakati hizi? HUYO Shigongo kama anasoma uzi wangu aache kuwahadaa wananchi azungumze vitu vyenye mantiki.
 
Erick Shigongo , ni zaidi ya kichekesho .

Miaka mitano yote unajisifu kuleta T shirt za Ccm
 
Binafsi sujaamini Kama hao ni real wananchi aise inawezekana ni kikundi cha praise cha mbunge. Wananchi hawawezi kushangilia Tshirt
 
Back
Top Bottom