Bunda Kwet
JF-Expert Member
- Feb 24, 2025
- 274
- 392
Hao kama wanakubali t shet na kanga ni nyumbu acha wanasiasa watumie hiyo kama fursa ya kujipatia kura, yani watanganyika wengi wanahitaji ukombozi wa fikraErick Shigongo,
Najua we' ni mtunzi mzuri wa Hadithi na riwaya, ila kwa ili hujawatendea vyema kondoo wako,
Kweli binadamu mwenzio, na unaelewa kabisa hana analo elewa ktk ulimwengu huu, wewe unaitumia kama fursa ili waendelee kuishi maisha ya kimasikini vile kweli.....!!