Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
wanahitaji ukombozi wa fikra, tshirt kweli?Mbunge wa jimbo la Buchosa Erick Shigongo katika mkutano wake leo alisikia akiwauliza swali wananchi wake kuwa niliwahidi kuleta tshirti nimeleta sijaleta. na wanachi wakajibu umeleta.
Kwahiyo tuseme viziwadi kama hivi wananchi wanapagawa kwa mgombea na kumpigia kura?
Shigongo pamoja na kuongoza kwa Rushwa lakini hali yake ni tete
T shirt kwa ajili ya kuvaa mkuu ili wapoteze miaka mitano tenaSa t-shirt kwa ajili ya nini? 🙄
Mbunge wa jimbo la Buchosa Erick Shigongo katika mkutano wake leo alisikia akiwauliza swali wananchi wake kuwa niliwahidi kuleta tshirti nimeleta sijaleta. na wanachi wakajibu umeleta.
Kwahiyo tuseme viziwadi kama hivi wananchi wanapagawa kwa mgombea na kumpigia kura?
Da hadi aibuMbunge wa jimbo la Buchosa Erick Shigongo katika mkutano wake leo alisikia akiwauliza swali wananchi wake kuwa niliwahidi kuleta tshirti nimeleta sijaleta. na wanachi wakajibu umeleta.
Kwahiyo tuseme viziwadi kama hivi wananchi wanapagawa kwa mgombea na kumpigia kura?