Utakuta wafanya kazi wake baadhii wana dhiki sana, kweli tajiri kufika mbinguni ni sawa na ngamia kupenya ktk tundu la sindano.
Umeskia wapi wafanyakazi wa azam wakilalamikia mishahara?
Nahizo gari zoote zipo fulltank ,kakwangu mpaka mshale wamafuta nahisi mbovu ulivyoinamia kushoto
Asante mkuu.. Wanadhan Bakhresa sawa name Mpua mpenda sifa!
"Aliyeko juu mngoje chini"
"Aliyeko juu mngoje chini"
Lakini kumbuka,"kutesa kwa zamu"Utangoja hadi kiama....Tembo hata akonde vipi hawi kama Swala...upo?
Hadi Bakhressa aje kugombania daladala...sio leo....!
Utangoja milele kama walivyokufa wafuasi wa kibwetere.
bongo eeeh!!!
bongo darisalaam!!!
utalia lia liaaaaa..!!!
ndani ya dar es salaam!!!
kaa chonjo eee!!!!