Shikamoo Azam

Shikamoo Azam

Hapo nadhani ni pale karibia na St.Peter Osterbay anakoishi mtoto wa mzee Bakressa ......Lile hekalu tu hatari tupu .....
 
Aiseeee yes he's chillin what more can I say he kill 'em.......Shikamooo bakharesa.
 
Mimi kuna mzee mmoja binti yake anafanya kazi pale.. bakheresa anaheshimu taaluma analipa vizuri na hana uswahili kabisa
 
Kwa hiyo hapo ndio nyumbani kwake? Au watu wanaishi jamaniii
 
Back
Top Bottom