Shikamoo Azam

Shikamoo Azam

aston martin hii gari nimezoea kuiona kwenye tv na moviez tu.
Ila hapa bongo bado.

Sasa sijui hio huwa inaendeshwa kwa matukio. Sijawahi kuiona barabarani.
 
Aston Martin ni hiyo BZL silver maana natumia tochi sioni vizuri.
 
Jaman hebu muiten Ney aje kuonyesha mjumba wake na mgari wake. Hizi tabia za kupigapiga picha vijumba vyenu mnaona mmemuudhi kaka bakharesa?
 
Hhhhaaa jamani wekeni na ya Mengi
 
Back
Top Bottom