komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 403
TZS 8000 kwa siku hapo kila kitu
ulitaka walipwe sh ngapi elimu yenyewe la saba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TZS 8000 kwa siku hapo kila kitu
mdada angalia hiyo brabus vizuri ndo urudi tena
usikute wewe kiumri ni mkubwa kushinda huyo azam
Wewe acha maneno fanya kazi kwa bidii.Utakuta wafanya kazi wake baadhii wana dhiki sana, kweli tajiri kufika mbinguni ni sawa na ngamia kupenya ktk tundu la sindano.
mdada angalia hiyo brabus vizuri ndo urudi tena
Mnakaa kusifia vya wanaume,mmekosa vya kufanya??!!
hahaha....nimewahi kulipanda tu tena mara mbili.....
Kwa hiyo hapo ndio nyumbani kwake? Au watu wanaishi jamaniii
Nahisi iko brabus mpaka uwe mpenzi wa magari ndio utauona uzuri wake, ila kwa machoni kama halinogi vile...
Hapo anaishi mtoto wa Bakresa sio yeye ....
Bakhresa anakaa jengo moja na watoto wake wote, huyo ameanza lini kukaa peke yake?
Labda anaishi nae jirani ndio maana anamjua vizuri
ulitaka walipwe sh ngapi elimu yenyewe la saba
Wewe mwenye kazi ya kufanya kimekuleta nini hapa?
Hao unaowaita la saba ndio wanaomtajirisha Bakhresa,pia hata huyo Bakhresa ndio elimu yake hiyo unayoidharau,hao darasa la saba pia wanaenda choo kama wale wenye elimu zao,na wana mahitaji kama hao wenye elimu zao,8000 kitu gani kwa mtu anaye toil na kukufanya ukae kwenye kiyoyozi.
Kabisa bei kubwa sana bora angenunua kama ya Gwajima H2 Hummer.