Shikamoo biashara

Khaaa hii biasharaa ngumu sanaaaa...
 
Mwanangu kamwe usiyachukulie serious mafanikio ya mwanamke. Wanawake wengi tena wanaoheshimika mjini huwa wakienda Dubai au China ile wiki ya kwanza ni kufanya umalaya... mwanamke akienda na dola 5000 China au Dubai anaweza kurudi na mzigo wa dola 15000. Kuna watu wengi wanagongewa wake zao bila kujua. Kina dada wa mitandaoni wapuuze.
 
Biashara ni fumbo, huwezi kujua kama mteja atatokea magharibi, mashariki,kaskazini au kusini. Unasubiri tu pesa ambayo hujui itatokea wapi! Ndio maana wajanja wamejikita kwenye ulimwengu wa roho. Sana sana onana na waliofanikiwa kibiashara wakupe siri japo sio rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…