dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hayo Ni mawazo ya mpumbavu sna sitaki niamni kam unawezza kuqaza starehe na kucha kuwekezaBora uchome pesa kwenye starehe hata ukifulia utoumia kuliko kuchoma kwenye project ikaangukia pua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo Ni mawazo ya mpumbavu sna sitaki niamni kam unawezza kuqaza starehe na kucha kuwekezaBora uchome pesa kwenye starehe hata ukifulia utoumia kuliko kuchoma kwenye project ikaangukia pua.
Hao wameshindikana wako wengi mno mno unakuta mtu aanalipa laki tano. Fremu alfu kutaa anacho USA sasaKuna jamaa kakodi frame mbezi mwisho frame ya laki 4 kwa mwezi (4,800,000 kwa mwaka). Sasa angalia bidhaa anazouza ni maua ya plastic kayajaza na vikorombwezo vya sikukuu za kuzaliwa na harusi! Sasa biashara ya aina hii inaweza hata kurudisha kodi ya mwezi/siku?
Hat kula mchna HaliShida wana uwa wanakurupuka sana yaani akishika chenji yeye yumo kwenye bussiness tayari .
Kifuatacho ni kupost mambo whatsap kila kukicha ila ground hali ni tete .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mzee hate bia nne kweli huli SAS unatafuta pesa za nn Kama uwez kujihudumia kwa Kia's kdgPesa ya biashara ukinywea Beer na kupigia miti haya ndiyo matokeo hutoboi...
Yah tulienzi hapa hapa mzee mtapata kituNakuwa mpenzi msomaji, biznes ni ishu nyingine kabisa. Tunazidi kujifunza kupitia wazoefu.
Hahaha biasha ganj hii ya mageneza nnNdugu pale matumizi ya kawaida ya familia yanapokuwa makubwa kuliko faida ni stress kubwa, huoni pakutokea tena kwenye biashara, halafu unatakiwa ulipe kodi za watu hujui unaipatia wapi, madeni ya mikopo kila siku hodiii dukani, huna backup, only option ilikuwa kujiondoa.
Nikatangaza kuuza biashara watu wengi wakajitokeza kuinunua kwa historia yake, nikaiuza bei nzuri sana.
Niliyemuuzia naye ameshaifunga [emoji3] sidhubutu hata kumsalimia ananiulaumu balaa.
Tatizo huwenda nae akataka kufungua Happ Happ jirnaj kwangu alfu tugawane watejaHahahaha inafurahishaga na kuhuzunisha, anakuuliza biashara kama hii mtaji kiasi gani, soko likoje na changamoto.
Kiuhalisia huwezi kumwambia changamoto unazopitia ila unatamani Umwambie lete hela nikuuzie hii yangu.
Safi mzee, kwaio kwa sasa bado unafanya biashara za jumla ??Kudumu kwa biashara inategemea na factors nyingi Location, demand, mtaji, msimamizi, sera za kiuchumi n.k
Mfano mwaka 2014 nilianzisha biashara ile biashara ilianza vizuri sana na akachanganya sana, ilifanya vizuri kwa sababu ya mazingira biashara ilipokuwepo kulikuwa hakuna access ya barabara pana ya kupita malori, barabara pana ilikuwa inaishia kwangu kwahiyo wateja walikuwa wanatoka maeneo mbalimbali kuja kununua bidhaa kwangu kwa jumla halafu wanasomba na mikokoteni kuingia huko ndani ndani.
Mwaka 2018 ukaja mradi wa kukarabati barabara za mitaani, watu wakalipwa na barabara zikapanuliwa kwa kiwango cha lami.
Nikapoteza wateja wa jumla wote, biashara yangu mauzo yakadrop ile mbaya mwisho ikafa.
Biashara ya pili ilikuwa ya duka baada ya barabara kukarabatiwa zilijengwa frame nyingi sana, yakafunguliwa maduka mengi biashara zinazofanana, bidhaa nyingi wateja wachache. Duka likaangukia pua.
Kwahiyo kudumu kwa biashara muda mrefu kuna sababu nyingi sana. Ila nilichojifunza jitahidi kuwa mfanyabiashara wa kati wa Jumla/mtaji mkubwa na sio mfanyabiashara wa mwisho.
Yaani nabaki tu kucheka na kuwahurumia sana .Hat kula mchna Hali
Kuna bint mmoja anaduka sinza la kuuza oil za magari Sasa anacho fanya Ni kupost kila siku mtaandaoni
Na ukikah nae hat kula hawezi Hulu akilipia fremu laki 500k
Brother Tubariki na mawazo mawili matatu ya biashara. Tushike peni na karatasi tuandike tuchukue notesDah hiyo ilinitokeaga kuna jamaa alikuja jirani yangu akafungua huduma za mpesa kumbe lengo lake ni kuja kubadilisha biashara ifanane na yangu.
Nilimkaribisha vizuri na nikawa nampa ABCD za biashara yangu kumbe nampa madini
Siku nashangaa anashusha bidhaa kama zangu dah yalikuwa maumivu sana. Nilimeza kidonge kichungu sana.
Ila biashara za maduka zenye mitaji midogo za kijinga sana full kuigana na kuwa saresare maua. Biashara ya duka nzuri iwe ya kuuza jumla jumla yale maduka madogo yaje kwako.
Majuzi nilimtembelea rafiki yangu mmoja, amenunua mashine ya kudarizi 30m, nilimkuta anaweka nembo kwenye mashati 30, lakini malipo aliyopata ni shilingi 60,000/=; kwa mazingira hayo kama huna nidhamu ya pesa, unaweza kuhisi hiyo milioni 30 aliyowekeza kwenye mashine imepotea.Biashara inakuhitaji uwe na nidhamu kwa kila shilingi, unaweza kuwekeza pesa nyingi ila faida ikawa kidogo sana kama bei ya kreti; usipokuwa na nidhamu lazima biashara ife.
Fafanua mkuu, haswa hapo kwenye BoldSijajua unazungumzia biashara ipi
Ila ukitaka kutoboa kwenye biashara yoyote lazima uwe na "BACKUP"
Sasa kazi ya pesa inakuwa nn kiongoziPesa ya biashara ukinywea Beer na kupigia miti haya ndiyo matokeo hutoboi...
Maana yangu usinywee na kupigia miti mtaji..Sasa kazi ya pesa inakuwa nn kiongozi
Binti ukiona anafanya biashara sio wa kushindana naye! Kwanza kodi ya pango ni chupi! Mtaji ni chupi! Hawanaga mahesabu zaidi ya kukuelekeza kwenye 'V' ya mapaja yake ukitaka kudai kodi! Wanaofanya biashara za piga/ua/komaa ni wanaume!Hat kula mchna Hali
Kuna bint mmoja anaduka sinza la kuuza oil za magari Sasa anacho fanya Ni kupost kila siku mtaandaoni
Na ukikah nae hat kula hawezi Hulu akilipia fremu laki 500k