Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warangi Wana shida ganiPole sana biashara ni ngumu ila ni ngumu kabisa kama umepakana na Mrangi....
Khaaa hii biasharaa ngumu sanaaaa...Majuzi nilimtembelea rafiki yangu mmoja, amenunua mashine ya kudarizi 30m, nilimkuta anaweka nembo kwenye mashati 30, lakini malipo aliyopata ni shilingi 60,000/=; kwa mazingira hayo kama huna nidhamu ya pesa, unaweza kuhisi hiyo milioni 30 aliyowekeza kwenye mashine imepotea.
Mwanangu kamwe usiyachukulie serious mafanikio ya mwanamke. Wanawake wengi tena wanaoheshimika mjini huwa wakienda Dubai au China ile wiki ya kwanza ni kufanya umalaya... mwanamke akienda na dola 5000 China au Dubai anaweza kurudi na mzigo wa dola 15000. Kuna watu wengi wanagongewa wake zao bila kujua. Kina dada wa mitandaoni wapuuze.Sasa hawa wadada wa mitandaoni mbona wanatoboa sana na wanafanya biashara ionekane rahisi? Ma range wanayanunua kama baiskeli, mijumba wanajenga ya ukweli sana. Kila siku kushusha ma container, Kuna siri ambayo wanayo na sisi hatuijui? Mimi pia na struggle sana kusimama kwenye biashara but wenzetu wanapasua tu😳😳 anaeijua siri tupeane plz