Shikamoo biashara

Shikamoo biashara

Kuna mwanangu mmoja baada ya kumaliza chuo akaja ofisini kwangu aliniambia hii kauli huwa naikumbuka mpaka leo

Kaka nakuheshimu sana kwa kuisimamia ofisi yako mpaka leo tangu nilipokufahamu mwaka 2017.
ALiyasema hayo baada ya kupata shavu halmashauri fulani wao ikiwa ni sehemu ya team ya kukagua walipa kodi kwa wilaya aliyopo. Alinambia katika robo ya mwaka kuna biashara kibao zinaanzishwa ila hazitoboi robo inayofuata. Nikamjibu umekuwa mkubwa sasa, karibu ukubwani.
 
Tatizo ni aina ya biashara
Kuna jamaa alianza na bus daladala chakavu....nje ya mji....baada ya kutumbuliwa...akaamua kukaa golini mwenyewe..kukusanya nauli....Leo amekopeshwa TATA jipyaaa...kawapa vijana wanaleta hesabu....yeye bado yupo na la zamani...nyumba yake kaifanyia finishing utadhani ni kwa waziri...na ana ki IST cha kwendea chachi.
HUYU BWASHEE NI DARASA TOSHA.
 
Baada ya kutumbuliwa ....
Leo kakopeshwa TATA....

Mkopo kamaliza?
 
Ukiwa lelemama una surrender mara ya kwanza tu ukianguka... Lakini ukiwa mstahimilvu utanyanyuka Tena na Tena na mambo yakasonga..., Ningeweka mfano wangu hapa Ila wacha nimalize kwanza kuugulia maumivu🥲😂
Weka lamama tujifunze
 
Ukute ni kontena la miti ya Xmas ndo limeingia Feb hii 🤓 Xmas ishapita, na nyingine bado iko mbali
Kuna jamaa kakodi frame mbezi mwisho frame ya laki 4 kwa mwezi (4,800,000 kwa mwaka). Sasa angalia bidhaa anazouza ni maua ya plastic kayajaza na vikorombwezo vya sikukuu za kuzaliwa na harusi! Sasa biashara ya aina hii inaweza hata kurudisha kodi ya mwezi/siku?
 
Shida wana uwa wanakurupuka sana yaani akishika chenji yeye yumo kwenye bussiness tayari .

Kifuatacho ni kupost mambo whatsap kila kukicha ila ground hali ni tete .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa alianza na bus daladala chakavu....nje ya mji....baada ya kutumbuliwa...akaamua kukaa golini mwenyewe..kukusanya nauli....Leo amekopeshwa TATA jipyaaa...kawapa vijana wanaleta hesabu....yeye bado yupo na la zamani...nyumba yake kaifanyia finishing utadhani ni kwa waziri...na ana ki IST cha kwendea chachi.
HUYU BWASHEE NI DARASA TOSHA.
Hapo somo kuu ni 'BIASHARA CHANGA SIMAMIA MWENYEWE'
 
Back
Top Bottom