Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,950
Sidhani kama jamaa atakuja toa ngoma kali kuizidi 100 kilos, hakika Ferre Gola ni MtunaNusu kwenye muziki.Kwa rhumba dunia nzima hakuna kama Ferre Gola, rhumba yoyote ya Congo ishindanishwe na 100 kilos pekee inatosha kumpa ushindi Ferre 'le padre'