Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda mrefu sana.

Sauti ya Kipekee ya Fally Ipupa inaendana vyema kabisa na Nyimbo zake zote za taratibu ( Rhumba ) hali ambayo inamfanya amuache mbali sana Ferre Gola.

Hebu sikiliza Rhumba la MAYDAY lilivyo tamu, zuri na alivyolipangilia na likapangika huku humo ndani akimpa Maua yake yote Tajiri ( Pedeshee ) wa Kikongo aitwae Adolphe Muteba Chilamwina ambaye hajaombwa tu nae Fally Ipupa bali hata akina Koffi Olomide, Werrason,, Felix Wazekwa na Ferre Gola katika Nyimbo zao zote Mpya huwa Wanamuimba.

Kama ukimaliza kusikiliza Chuma hiki cha MAYDAY muda ukiwepo Sikiliza pia na Rhumba zingine tamu hakuna mfano za ATTENTE, ASSOCIE na SE YO kisha utarejea hapa JamiiForums kukubaliana nami kuwa Fally Ipupa ni Habari nyingine Kimuziki kwa sasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( Congo DR )
Genta tuweke mzani mayday na 100kg ya Ferre tusikilize mara 10 turudi tena
 
"Mayday ...
adolphe na ngai ngai na ye epa na yo
Po o apaiser ngai motema unième fois
Amour e rendre ngai veuve yo vivant
Mon amour tue-moi une bonne fois Adolphe
Aah Papa na leli réponds-moi pardon chéri..."

Nina enjoy Ngoma zake kwasababu Nina advantage ya lugha mbili ; french na lingala.
 
Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda mrefu sana.

Sauti ya Kipekee ya Fally Ipupa inaendana vyema kabisa na Nyimbo zake zote za taratibu ( Rhumba ) hali ambayo inamfanya amuache mbali sana Ferre Gola.

Hebu sikiliza Rhumba la MAYDAY lilivyo tamu, zuri na alivyolipangilia na likapangika huku humo ndani akimpa Maua yake yote Tajiri ( Pedeshee ) wa Kikongo aitwae Adolphe Muteba Chilamwina ambaye hajaombwa tu nae Fally Ipupa bali hata akina Koffi Olomide, Werrason,, Felix Wazekwa na Ferre Gola katika Nyimbo zao zote Mpya huwa Wanamuimba.

Kama ukimaliza kusikiliza Chuma hiki cha MAYDAY muda ukiwepo Sikiliza pia na Rhumba zingine tamu hakuna mfano za ATTENTE, ASSOCIE na SE YO kisha utarejea hapa JamiiForums kukubaliana nami kuwa Fally Ipupa ni Habari nyingine Kimuziki kwa sasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( Congo DR )
Kuna nyimbo aliimba na koffi ila watu hawaijui, hii apa
 
Attachments

Kuna nyimbo aliimba na koffi ila watu hawaijui, hii apa
Kuna nyimbo ❌ kuna wimbo ✅. Huo wimbo wa Koffi Olomide na hapo Fally alikuwa mwimbaji kwenye bendi ya Koffi. Kwahiyo Fally hakushirikishwa bali alipewa kipande chake kifupi aimbe kama waimbaji wengine.
 
hapana hii colabo, fally alikua bado hajawa famous sana ila tayar alikua solo
 
hii ngoma sjui kwann haikua kubwa ila ni my fav na nliipata kimagumash sana
Ni Ngoma Kali sana aisee

Ukiipiga kwenye JBL music system utajikuta unasahau shida zote at once 😜
 
Vipi mbona siku hizi hawa Mapeshee hawaimbwi kwenye midungo ya Congoleee tena

-Pedeshee Dariol Mulongo
-Josee Kongolo
-Adam Bombole
-Fabrice Wasepe
-Patricke Bolonya

Au hawatoi mpunga wa kutosha?
Joseph Kongolo alishafariki zamani za kale!!!
 
My favorites kutoka kwa Fally
Associe
Maria PM
Amore
Alliance
100
Afsana
Science fiction
 
Back
Top Bottom